Acha siasa uchwara hizi km ndivyo unatuaminisha jeshi letu la police dhaifu au knn ujue wewe wao askari wasijue?acheni upuuzi na MANENO yasiyo na tija kwa ustawi wa taifa letu watz wanahitaji maendeleo na si ngonjera.Acheni kutafuta kiki za njaa njaa mwacheni Rais afanye kazi.
Japo Mahakama ni chombo huru,adhabu aliyopewa mshtakiwa ni ndogo sana kulingana na uzito wa kosa.Mamlaka zinazohusika nafikiri zinaweza kukata rufaa ili kuona uwezekano wa adhabu kuongezwa ili jamii ijifunze zaidi.
Uko sahihi kbs mheshimiwa Waziri,adhabu ya viboko irudi mashuleni,kusimamia maadili ya watoto sababu kila kukicha inazidi kushuka.Toeni waraka ili walimu wapate pa kusimamia msije waruka ikawa dhahama kwao.Big up waziri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.