Recent content by raybse

  1. raybse

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hiyo NOTE 4 bado unayo? nicheki kupitia 0713966623 tuongee,nahitaji hiyo simu!
  2. raybse

    MSAADA: SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA

    Sawa nitajaribu kufanya hivyo ndugu yangu.
  3. raybse

    MSAADA: SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA

    NATAFUTA SPARE KEY YA BMW 3 SERIES YA 2002,318i HAPA TANZANIA.POPOTE NINAPOWEZA PATA TAFADHALI NIJULISHE. NATANGULIZA SHUKRANI.
  4. raybse

    Natafuta Spare key ya BMW 3 Series ya 2002, 318i

    Habari wandugu! wapi hapa Tanzania naweza pata programmed spare key ya BMW,318i ya mwaka 2002 kwa bei reasonable? Natangauliza shukrani. Mwenye taarifa yoyote anaweza nicheki kupitia 075996662 . Natanguliza Shukrani.
  5. raybse

    Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

    Sawa ndugu yangu fanya hivyo!!
  6. raybse

    Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

    Sababu za kuuza: Maamuzi tu ndugu yangu! Inapatikana wapi?: Kwa sasa ipo Iringa ila inaweza kwenda Dar muda wowote na saa yoyote kulingana na mahiji ya mteja. Accident record: No any significant accident record Odometer: 70,000Kms.
  7. raybse

    Toyota ist inauzwa 8,500,000tzs

    Toyota IST Inauzwa 8,500,000TZS,ni ya mwaka 2003! Ipo vizuri! Service ya mara kwa mara! Cheki Picha hapa chini! Kwa maulizo na manunuzi nicheki kupitia 0759-966623.
  8. raybse

    Dr.Godbless Charles won his Appeal against Medical Council of Tanganyika(MCT)

    Hongera sana kaka!! Mungu akutie Nguvu katika mapambano haya naamini huu ni mwanzo tu wa vitu vingi sana unavyoweza fanyia jamii yetu hii iliyozungukwa na dhuluma ya kila aina! Binafsi nakufahamu kama moja ya azina chache ya vijana wa Taifa hili ambao wanaweza kusimamia wanachokiamini kwa...
  9. raybse

    M4C Tabata Kimanga: Msigwa, Marando, Heche, Mashishanga Kuiteka Dar Es Salaam

    Mimi nipo Tabata Kimanga stand muda huu na wala hakuna dalili za mkutano leo nadhani tarehe zimechanganywa nasikia huo mkutano ni Kesho, 11/8/2013 ! Kama kuna mtu ana taarifa za Uhakika atuwekee hapa.
  10. raybse

    Mkosamali on fire in the Parliament

    mi nilijua anaungua na moto bungeni si ndo nikashangaaaa hakuna zima moto bungeni??!!Hahahhahahahahah hii lugha ya kikiristo hajawahi kuwa rahisi kwa waumini wake hata siku moja!!
  11. raybse

    Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    Naomba Kiongozi mkuu wa Kambi ya Upinzani(Freeman Mbowe) amuulize waziri mkuu kwenye maswali ya papo kwa papo siku ya Alhamisi nini kuhusu HATIMA ya kesi ya Dr.Stephen Ulimboka kwani serikali ilijitamba sana kwamba ukweli utajulikana na sasa ni miezi kibao imepita umma Haujulishwi kinachoendelea...
  12. raybse

    Prof Chinua Achebe is dead

    RIP Proffessor! You will always be remembered for your outstanding and magnificent work on African culture!! Your GREATEST as far as the AFRICAN culture is concerned!!
Back
Top Bottom