Mkuu naulizia rav v 2006-7 limited edition 3.5 liter v6 zinapatikana kwa bei gani na pia vanguard ya 2007 bei yake je
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mnakutana Leo na kuona kesho tu mkuu lazima mkae wote at least muanze as friends japo siku hizi hamnaga izo mambo mchunguzane na muwe mmeridhika sio unamkuta anakazi tayari you have to start from the bottom hivo inakua ngumu sana kukuzingua...a good example ni kama ndoa za zamani za wazazi...
Me kwa mtazamo wangu ina make sense coz hujui kama mke anakutegemea tu what if siku ukafa labda afu we ndo mlishaji familia...ndugu watafata na kuchukua vitu kama ilivo kawaida mke atabaki hana hili wala lile but kama anafanya kazi walau atalea watoto na hawata pata shida lengo ni kusaidina...
Wabongo bwana yani mlivokua mnatumbua wafanyakazi wengine na kuwafukuza sababu ya vyeti feki hamkujali hata kama walipitia au walikua na historia ngumu mpaka kupata hizo kazi mlizo watimua...Leo hii mnakuja mfananisha DAB na mtu kama Obama kweli jamani,tuache uswahili na apa wala Tusimwingize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.