Recent content by Ray of light

  1. Ray of light

    Namna ya Kukuza Mtoto anayependa kusoma

    Mwanangu bado mdogo lakini tunapenda kukaa pamoja na kusoma then baadae anaendelea na michezo yake. Thanks for this
  2. Ray of light

    Namna ya Kukuza Mtoto anayependa kusoma

    This is so warped! Tena dada nahisi unachanganya na effects za matumizi yaliyokithiri ya digital devices. Mimi nasoma vitabu sana, baba yangu aliniambukiza nafikiri. Ukiacha kwamba ni starehe yangu, kusoma hakujanifanya niwe mtu wa kujitenga, kwa taarifa yako sababu ya kupenda kusoma sana masomo...
  3. Ray of light

    Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Daah wewe mzee una masharti mengi sana kwa mtu ambaye anahaha kutafuta 2 dollars kwa siku, Mara sitaki vitu intellectual, mara sihitaji referral, mara sitaki nini ... sasa kitu gani kwa ulimwengu wa sasa ambacho kitakuja tuuu kwa wepesi bila kuwa na skill yoyote?
  4. Ray of light

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Asante kwa mada nzuri, nimeipenda sana na ninaamini itabadili maisha yangu. Swali langu kwa vile ni wa siku 21 je tunaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa na wenza? maana mwingine anaweza asielewe. Pia kama mie ni beginner, usually nafungaga ya saa 12, je siwezi nikawa nakunywa kitu kizito zaidi ya...
  5. Ray of light

    Wapi naweza kupata Pipi na Big-G kwa bei ya jumla

    Okay nitatembelea hapo. Asante
  6. Ray of light

    Wapi naweza kupata Pipi na Big-G kwa bei ya jumla

    Habarini wanajukwaa. Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza pipi na Big-G, je wapi naweza kupata pipi kwa bei ya jumla? Nimetembelea Kariakoo na Manzese ila nimeona bei ni zile za wanaouziwa wafanyabiashara wengine na sio super supplier.
  7. Ray of light

    Wazazi na ndugu zangu wataka nimuache mke wangu. Ndoa ina miezi 6, nipo njia panda

    Simama na Mungu kaka. Huyo binti kashatolewa kafara na wazazi tangu utotoni mwake. Hujiulizi kwa nini mama hataki mtoto wake mwenyewe atibiwe? Zinduka. Hao ni wachawi
  8. Ray of light

    Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

    Pole sana mkuu. Hivi sisi masingo mathaz tunakoseaga wapi? We get a bad reputation. Anyway ningekuwa wewe nisingemrudia huyo binti. It seems ndani yake bado ana utoto fulani hivi wakati tayari age-go. Na usiyumbishwe na baba mkwe maana vitimbi unavipitia wewe sio wao. Hawakutafuti sababu...
  9. Ray of light

    Naweza kupata wapi Dry Ice?

    Nimewapigia A to Z supermarket wamenielekeza kila kitu cha muhimu. Wa Kinyerezi huyu anauza ice blocks za kawaida
  10. Ray of light

    Naweza kupata wapi Dry Ice?

    Shukrani mkuu, wa Kinyerezi ananifaa zaidi maana naishi maeneo ya huko ila pia wa A to Z si mbaya.
  11. Ray of light

    Naweza kupata wapi Dry Ice?

    Habarini wanajukwaa, natafuta dry ice kwa ajili ya kuhifadhia lambalamba zangu kuna mahali nimealikwa nikauze. Nina frezer lakini ni kubwa haliwezi kuingia kwenye usafiri wangu na kukodisha naweza nisipate faida ninayohitaji. Nimeambiwa kuhusu dry ice eti wanatumia vijana wa Bakhressa. Kuna...
  12. Ray of light

    Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    Alivyojibu Cariha ni sawa, yaani hata sisi kwetu inakuwaga ngumu. Mie dada wa kazi akiniulizaga hilo swali naweza hata kuchukua masaa mawili sijamjibu 😂. So nimeweka ratiba Ila saaa ninapomuuliza shemeji yako lengo ni kujua anajisikia kula nini. Mimi baby wangu anapenda sana mambo ya misosi, so...
  13. Ray of light

    Safiri na Kitabu kuokoa familia, watoto na mahusiano

    Kila la heri kwenye hili. Na Mungu akipenda labda naweza kuwa sehemu ya hii programu, napenda sana kusoma na pia napenda kusafiri.
Back
Top Bottom