Naweza kupata wapi Dry Ice?

Ray of light

Senior Member
Sep 8, 2018
154
298
Habarini wanajukwaa, natafuta dry ice kwa ajili ya kuhifadhia lambalamba zangu kuna mahali nimealikwa nikauze. Nina frezer lakini ni kubwa haliwezi kuingia kwenye usafiri wangu na kukodisha naweza nisipate faida ninayohitaji.
Nimeambiwa kuhusu dry ice eti wanatumia vijana wa Bakhressa. Kuna anayeweza kunisaidia mahali ninapoweza kupata?

Washukrani
 
Uko maeneo gani? Nimeona kuna supplier kinyerezi pale, pia kuna TOL gas kama utawapata na A TO Z supermaket palm residence chimala street...

Haya chagua moja nikupe contacts
 
Uko maeneo gani? Nimeona kuna supplier kinyerezi pale, pia kuna TOL gas kama utawapata na A TO Z supermaket palm residence chimala street...

Haya chagua moja nikupe contacts
Shukrani mkuu, wa Kinyerezi ananifaa zaidi maana naishi maeneo ya huko ila pia wa A to Z si mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom