Popote mlipo, Huu ni ushindi lakini nafsi haina Amani nyie kusafiri usiku huu. Tunawapenda sana, tumeelewa kuwa mnafanya siasa katika mazingira magumu sana. Michezo yao ishajulikana, wao UTU, UBINADAMU hawana, Wao wanatanguliza masilahi yao binafsi mbele.
Nashuhudiwa msitembee umbali mrefu...
By the way mtu anayeleta maendeleo ila hathamini utu wa watu huyo kwangu simthamini kabisa. Tundu lisu najua hataweza hata punje kuleta maendeleo lakini atajali sana utawala wa haki na sheria, sitarajii kusikia watu wakipotea chini ya tundu lisu.Mungu atutangulie atuwezeshe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.