Bora lisionyeshwe LIVE Kama akili zenyewe za wabunge wetu ndo hizi...siwezi kukaa Na akili zangu Na elimu naangalia bunge halafu mbunge anasimama anatoa points za chekechea...tukisema ccm Ni familia mnasema sisi chdm wapiga debe..alianza lusinde Na nembo ya nyoka kwenye miatano Leo huyu mwingine...
Khaaah we unaongea nn YEHODAYA.???kwamba bunge linaporushwa baadhi ya watu wanakuwa mahofisini!...kwan tatizo bunge kutoonyeshwa Ni kwamba hakuna gharama za urushaji wa vikao vya bunge au tatizo Ni kwamba watu wanakuwa mahofisini...akili za wapi hizo! Kwan kipindi cha nyuma watu walikuwa hawana...
ukitaka kuitete ccm wakati huu inabidi ujifanye chizi au mwendawazimu ili watu wakuelewa na siyo unakuja na akili zako timamu unajifanya unaitete ccm mbele za watu utapigwa#!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.