Recent content by Rational_Thinker

  1. R

    Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Wana jamii mnanyooshaa hakuna kuhujumu jibu... Asante [emoji3][emoji3][emoji3][emoji113] Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Ukiongea tumia "mother Tongio" [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Katika mantiki ya kidini na dhamira kuu ya kanisa lenye malengo ya kiuhalisia, kukemea hali ya siasa kitaifa ni muhimu sana. 1. Katika maana pana zaidi na elekezi, Roho+Mwili=Nafsi Hai. Katika hili ni lazima tuhakikishe mwili unakuwa Salama, Wenye Amani na Afya. Hivyo ni lazima tuhubiriwe juu...
  4. R

    2019 Mercedes S Class

    Angalia Volkswagen Tourege W12. Ina cylinder 12 na zimekaa W shape. 0 to 60 ni 3Sec. Features zake ni balaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Umeshajiunga "GRIDI YA TAIFA" fuata maelekezo ya wataalamu wa afya utaishi kwa matumaini na amani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    2019 Mercedes S Class

    XC maana yake ni Cross Country. Ni gari ambazo Sweden zinatambulika kwa safari za mbali. Na Volvo walitengeneza kwa ajili ya safari ndefu. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    2019 Mercedes S Class

    Nimekusoma mkuu. Nikajua unataka ujaribu SGR [emoji2][emoji2][emoji2]. Volvo wanajivunia sana uwezo huu... Na umewapa soko sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    2019 Mercedes S Class

    Katika Safety Mswideni "VOLVO" anashikilia kijiti. Katika yote kwa ujumla... Benzi shkamoo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    Nimemsikia leo Kigaila anajibu hoja ya chama chake kununua gari na kisha kusajiliwa kwa jina la Mwanachama

    Hapa umechapisha sahihi. Kwa namna yoyote kudaiwa michango ni kitu cha kawaida na kipo katika uhalisia. Ila kutumia chama kununuliana au kukopeshana magari... Ni wizi na ubadhilifu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    Nimemsikia leo Kigaila anajibu hoja ya chama chake kununua gari na kisha kusajiliwa kwa jina la Mwanachama

    CHADEMA kile nacho ni kichaka kingine tu. Na watu hawa wakipata hapa lepe la madaraka...watafanya mambo meusi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom