Recent content by RastaSoul

  1. R

    JamiiForums Tanzania Lengo la Mungu kuwatoa Wana wa Israel Utumwani na kuwaua jangwani Kwa maelfu lilikuwa ni lipi?

    Kwanini tunawasoma wana wa Israel huku?! Yaani je tuliletwa duniani kujua maisha wa watu wengine na ilhali sisi tunahistoria zetu......kama ndio ivo basi sisi tumekua watumwa sana jamani maana nijuavyo tuna mambo mengi sana ya kujifunza ili tuyatawale mazingira tuliyozaliwa na tukayakuta zaidi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ipo Siku Nitakuwa wa Kwanza Kuanzisha Kampeni ya Kuwakomboa Dada Zetu Wanaojiuza: Nitafanya Hivi

    Umewaza vyema sana, siku ukiwa tayari naomba unishirikishe tuanze harambeeee
  3. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of law and its marketability

    Nadhani tunaweza kua na mawazo sawa, sema wananzengo wana mengi napenda kusoma sheria sema changamoto ni kama izo hapo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kujua ABC za biashara ya asali

    Kiongozi kama una buyers naomba tuwasiliane nina asali ya kutosha, tunaweza kufanya kitu sababu mie soko sijapata
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji rim paper kwa bei ya jumla

    Njoo pm tufanye kazii
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wabaini mchezo mchafu wanandoa ajali ya gari kutekea moto

    Mistake waliofanya ni kuruhusu wifi kuja nyumbani baaasii
  7. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza gari ipo katika hali nzuri

    CC 1290 Full A/C Fog light Sport Rims 12mil. IPO KATIKA HALI NZURi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

    Ilimu iyo ni muhimu kwa waislamu na wote wanaoamini katka kufa na stara ya maiti
Back
Top Bottom