Recent content by rasta_brighton

  1. rasta_brighton

    Pota

    Thank u
  2. rasta_brighton

    Tumefikaje Hapa?

    Swali lake hajaweka wazi ni kuhusu nini
  3. rasta_brighton

    Tumefikaje Hapa?

    Kimungu mungu tuu
  4. rasta_brighton

    Pota

    Mlimani pia porini,napenda kufanya hio kazi
  5. rasta_brighton

    Pota

    Mambo vp wana jamii forum,mwenye ujuzi na kazi ya pota mlimani atupe madini upande wa malipo kampuni wanalipaje
  6. rasta_brighton

    Asante sana Mungu kutuletea chama cha kutetea wapagazi The kilimanjaro porters assistance project (KPAP)

    Napenda kufanya hio kazi ila sijapata muongozo,anaejua anifahamishe please
  7. rasta_brighton

    Rais Samia awekwe kwenye fedha, tuache wivu na chuki

    Kwenye noti huwa anawekwa mkombozi alieiletea nchi yake uhuru,angalia pesa zote huwa na mkombozi wa nchi,zanzibar aliwekwa karume ila baadae wakaja kuibadilisha pale ilitakiwa abakie karume,haikuwa na maana kubadilisha,angalieni marekani miaka yote ni ileile picha ya raisi na wapo waliofanya...
  8. rasta_brighton

    Natafuta kazi ya pota

    aisee,sio poa,hio ndio tuseme ajali safarini
  9. rasta_brighton

    Natafuta kazi ya pota

    vyoo kivipi?
  10. rasta_brighton

    Natafuta kazi ya pota

    nashukuru man kwa ushauri wako.
  11. rasta_brighton

    Natafuta kazi ya pota

    habari zenu wana jamii forum,mimi ni kijana wa kitanzania,natafuta kazi ya upota katika kampuni za utalii kwani ni kazi ambayo naipenda,kiafya niko vizuri,sina matatizo yoyote,niko fit,natumaini kupata kupitia hapa napatikana kwa simu namba 0717 123433
  12. rasta_brighton

    Kupanda mlima Kilimanjaro

    cku nkija huko ntakucheki mkuu,napenda sana tour ya mlima ingawa sijawahi fanya,ntakutafuta ili uniongoze ktk hilo
  13. rasta_brighton

    Wapi kumbi za Night Club, Jiji la Tanga

    kiingilio chao bei gani mkuu?ni sehemu gani tanga ilipo?
Back
Top Bottom