Naona bado we ni kilaza, funguka uelewe ee msukule. Rudia nilichokiandika kuwa kanisa na misikiti ilimsaidia sana kikwete . ktk msikiti wa gadafi dodoma alito ahadi kuwa atawapTia mahakama ya kadhi ila akawapiga chenga baada ya maaskofu kukataa. Upo hapo. Tulia dawa ikuingie ili ujue jinsi ssm...
We mbona ni kilaza? Mimi nazungumzia 2005 we unaleta habari za 2010 , huu mwaka kiwete alibwagwa japo alisaidiwa na kanisa pamoja na misikiti ikiwa pia lipumba alimsaidi. Baada ya hapo ndipo jaji boman na usalama ulimuokoa. Wasilamu walisema tumsaidie tu ili tusipate aibu kuwa wasilamu hawajui...
mtakoma na chama chenu cha ukanda. Kila cku mnawatafuta waha tu. Zito ni sawa na mchezaji ambae hakabi anasubiri mumletee mpira kwenye box abaki na kipa amfunge alafu baadae anajivuna na kujisifu timu nzima bila yeye hamna kitu huku haji mazoezini nakutishia kuwa kocha. Sasa club imemtema tena...
Mtoi asante sana kuwapa elimu hawa wavivu wa kufikiri. Waelewa kama cc tunaeapuuzia tu. Ccm itatoka madarakani kimyakimya au kwa grader ya mahakama ya kimataifa
Act mnajisumbua bure. Watanzania kama mmeshawasoma hahitji vyama lukuki bali wanahitaji viongozi waadilifu hatakama wapo chadema ccm au cuf. So kuunda mamia ya vyama vya siasa ni kutumia kodi zetu bure kwa ajili ya matumbo yenu.
Msalani ushafilisika huna jipya unalia tu hApa. Ccm mshakubali kupigwa bao ulaghai wenu umeisha. Yani mbowe mwenyewe ni zaidi ya usalama wa taifa mnamuogopa kama simba. Chadema ni mpango wa Mungu kitadunda daima. Ushindi kuanzia mwakani ni lazima. Ccm hawana mbinu chafu tena labda kuuwa watu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.