rashidforeseer1
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 339
- 140
Kweli kabisa Mkuu. Kule Zenji CDM haipo kabisa
Mnajifariji wenyewe kwa wenyewe japa. Unakumbuka lisu alivyoitwa ronaldo wa realy madrid pale zenj? ccm kwisha habari yake
Kweli kabisa Mkuu. Kule Zenji CDM haipo kabisa
kisha ambiwa akigusa cdm amekwisha ! Amuulize Tendwa .Wapi MSAJIRI - tolea ufafanuzi juu ya hili jambo - Saidia Magamba please!!! - Mbowe ni TISHIO
Wapi kimenuka Mkuu? Mie naona misukule ya Mbowe inahangaika tu