Recent content by rashe

  1. rashe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Nilitegemea serikali ipunguze kukopa ili kuzuia thamani ya shilingi yetu kushuka lakini ndio kwanza kila siku wanaomba omba na kutupandishia kodi.
  2. rashe

    JamiiForums Tanzania Wanawake na Wasichana wana uwezekano mkubwa wa kuuliwa na Watu wa karibu nao

    Ni sahihi kabisa kusikia mambo kama hayo yakitokea kwa sababu mbalimbali. 1. Kuna wanaume wengi wanaishi na matatizo ya akili na wanawake walio wengi hawachukui tahadhari ya kutosha kiusalama dhidi yao. 2. Wanawake walio wengi hawana uwezo madhubuti wa kujilinda dhidi ya mashambulio hasa...
  3. rashe

    JamiiForums Tanzania Polisi yakiri kuwa chanzo ucheleweshaji haki

    Hii nayo hufanyika na baadhi ya wapelelezi kimkakati ili kushawishi RUSHWA.
  4. rashe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    Hii sio tabia ya mtoto, ni uzembe na ujinga wa wazazi. Kuna umri ukiongea mtoto anasikiliza na anafanya. Mnaleta uzungu mwingi kwenye malezi ya watoto ndio mnawaharibu. Chukua kiboki, tia viwili harudii tena. Ikitokea amejisahau akarudia, tia tena vingine viwili na mlazimishe amwombe mgeni...
  5. rashe

    JamiiForums Tanzania Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

    Kama kuna kundi (group) la wachaga naombeni tafadhalini mniunge nataka nijikumbushe kichaga mara kwa mara.
  6. rashe

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya size ya lips za mdomo wa mwanamke na size ya kibuyu chake cha asali

    Ni kweli kabisa! Mekutana nazo sana
  7. rashe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosa consistency kwenye matamshi na matendo yake

    Unaweza kusema hivyo, ila kama ni tabia ya mtu.....! Kuibadili sahau, ataendelea hivyo hadi mwisho. Wa kukereka watakereka na wa kusifu wataendelea kusifuuuu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. rashe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosa consistency kwenye matamshi na matendo yake

    Sasa kama alisema hateui wapinzane una uhakika kuwa hao anaowateua ni wapinzani??? Zaweza kuwa ngozi za upinzani lakn damu ni CCM. Halafu hata sijaona kama kuna kosa akiwateua! Mengine sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. rashe

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Siku hizi hakuna wasichana ...

    Mbona jibu lipo wazi. Usijifanye hujui, ni hao hao bodaboda, madereva hiace, makondakta, vinyozi na vibaka wengine wasiojitambua! Hata hivyo jamaa amekuwa too general coz there're still untouched girls. Yeye labda kapita na viwembe wenzake tu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] Sent using...
  10. rashe

    JamiiForums Tanzania Wimbo mwanaume mashine unatuzalilisha vibamia

    Mlete huyo dada nimfundeeee! Akirudi ataanza kupenda vibamia!!!
  11. rashe

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu uchochezi, aachiliwa kwa Dhamana

    Mm nilijibu matusi niliyotukanwa so sina kosa hapo
  12. rashe

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu uchochezi, aachiliwa kwa Dhamana

    So unataka kusema lengo la hapa ni kuipinga serikali au??? Labda unifafanulie ndo nielewe!!! Lengo la social networks ni kubadilishana mawazo kuhusu masuala yote ya kimaisha!!! Hebu fafanua boss!
  13. rashe

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ahojiwa Makao Makuu ya Polisi kuhusu uchochezi, aachiliwa kwa Dhamana

    Hv mnadhani anayelindwa ni Lowasaa kwamba anaweza kufanya fujo au??? Maana mm kuna watu siwaelewi!!! Anayelindwa si Lowassa ila ni mambo yanayoweza kutokana na kukamatwa kwa Lowassa!!!
Back
Top Bottom