Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 8,907
- 23,210
Ndio maana nimesema Lugha ya" kimarangu" wametohoa kutoka maneno ya kimasai hao siii wachaggha. Wachaggha ni wa uru, wa machame na wakibosho ambao wote (1) maziwa = malela (2) maji = muda (3)pombe = wari
Maziwa unaweza ita malela au marua,maji = mringa, pombe =wari √
Makosa ni kusema wauru na kibosho ndio wachaga asili, ukweli wa chaga wamegawanyika katika sehemu nne kibosho, machame marangu na rombo, hao uru,oldmosh,mbokomu,kirua, sia, nk ni sehemu tu ya hao wanne. Kwa hio wauru sio wachaga asili bali wamegawnyika toka kibosho au marangu. Uchaga unaundwa na hao wanne.
Sent using Jamii Forums mobile app