Tunauza nguo za mtumba quality za jinsia zote. Tupo kituo cha polisi sekei Arusha, mikoani pia tunatuma kwa uaminifu. Nguo zetu ni kwanzia 5,000 mpaka 50,000. Nguo ni nzuri sana, wasiliana kupitia 0763148588.
Jamaa hajafungwa wala nin, ni watu wanaomchafua ndo wamezusha hiyo ilikua issue ya zamani ila alikata rufaa akashinda kesi, we ingia instagram kama unamfollow ameelezea hiyo issue kwa kirefu kabisa na yuko zake mbugani na demu wake wanakula bata tu kama kawa.
Kweli kabisa sababu inategemea na gari imetembea kilometer ngapi pia sababu huwezi fananisha bei ya gari iliyotembea km 100,000/= na gari iliyotembea km 20,000/=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.