Kubadili rangi ya gari

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,071
2,010
swallamah wakuu....naomba kuuliza,hivi ukitaka kubadili rangi ya gari kuna taratibu gani? Na je, kama kuna gharama inaweza gharimu sh. ngapi? Kwa anayefahamu tafadhali.
 
Taratibu za kisheria ni kwenda TRA ukiwa na kadi ya gari gharama yake nadhani ni 10,000/= kama sikosei. Taratibu za kiufundi ni kulipeleka gereji na kupaka rangi unayotaka gharama inaanzia laki tisa hadi millioni tatu kwa gari ndogo kutegemea na rangi pamoja na kiwango cha upakaji.
 
Gharama inategemea na rangi unayotaka na garage unayopeleka kuhusu kubadilisha rangi na t.r.a ukabadilishe colour kwenye kadi ya gari
 
Taratibu za kisheria ni kwenda TRA ukiwa na kadi ya gari gharama yake nadhani ni 10,000/= kama sikosei. Taratibu za kiufundi ni kulipeleka gereji na kupaka rangi unayotaka gharama inaanzia laki tisa hadi millioni tatu kwa gari ndogo kutegemea na rangi pamoja na kiwango cha upakaji.
Thx
 
unatakiwa uwe na barua vehcle isnpction, ambayo hutolewa police ambapo anatakiwa alkague gar na kad origin ya gar baada ya hapo unaenda nazo TRA hyo barua na kad ya gar na tsh 10000/=ukiwa nayo
 
swallamah wakuu....naomba kuuliza,hivi ukitaka kubadili rangi ya gari kuna taratibu gani? Na je, kama kuna gharama inaweza gharimu sh. ngapi? Kwa anayefahamu tafadhali.
Paka rangi ya gar uipendayo pitie kwa vehicle kisha uende tra kwa ajil ya kupata card mpya
 
Kwa gari ndogo
1. Vehicle registration card
2. Vehicle inspection report (10,000/=) bila rushwa
3. Any identity
4.TRA fee 20,000/= bila rushwa
5. Garage bei ni kulingana na quality unahitaji.
 
Back
Top Bottom