Recent content by rasChingu

  1. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Screenshot mkeka wako aisee, utakuja kushukuru

    Ni kampuni gani hiyo tuihame chap
  2. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea baada ya Papa Fransisko kufariki dunia leo 21 April, 2025?

    Andiko limefika wakati muafaka, barikiwa sana
  3. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bashe anatetewa hivi bungeni? Je, sukari bei imeshuka?

    Duka gani hilo Songea....tukimbilie maana huku kwetu Litapwasi haiuzwi 2,500/=
  4. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Kikokotoo kilikokotolewa hivi
  5. rasChingu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025

    Watoto wanakaa chini huko goverment primary schools
  6. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii code mkuu ni ya kampuni gani Natanguliza shukrani
  7. rasChingu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    Jamani sie tunajiandaa na mechi ya fainali ....USM ALGER VS YANGA
  8. rasChingu

    JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu Bara | Dodoma Jiji FC 0-1 Simba SC | Jamhuri Stadium 22/01/2023

    Saa moja mkuu (1900)
  9. rasChingu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumepunguza makali ya upungufu wa umeme, wiki iliyopita ilikuwa Megawati 200-250, wiki hii 100-150

    Haya bhana Ila kwetu huku......hali ni nafuu na kabla hizo megawatt hazijaingizwa kwenye grid ya Taifa La muhimu wazipate hizo zilizosalia ili hawa wakataji wakose kisingizio[emoji16][emoji16][emoji16]
  10. rasChingu

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Leah Ulaya arejeshewa Urais wa CWT

    Daaah tuna safari ndefu sana ktk kuweka mambo ktk unyoofu, pesa mbaya sana..... Ngoja tuone mwisho wa hii movie Na yule Seif anaendeaje huko?
  11. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera kk tunasubiri za kesho na Sisi tuanze kufata na 1k zetu[emoji16][emoji16][emoji16]
  12. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Shukrani ngoja nijarbu
  13. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu Asante Ila hii code inagoma msaada tafadhali
  14. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

    Unapaswa ufikir kabla hujaandika. Mungu yupo na anasikia juu ya uchumi unaowagusa watumiahi ila wanasiasa hauwagusi. Siku zinakuja na haziko mbal[emoji16][emoji16][emoji16]
  15. rasChingu

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka- Serikali imetenga siku moja kila wiki kwa wafanyakazi wa Umma kwenda Kulima badala ya kwenda kazini

    Hii safi sana, ianze tu na huku kwetu Lusewa maana hii mishahara hii, haitufikiahi popote. Tutaongeza pia uzalishaji wa mazao ya chakula na biaahara.
Back
Top Bottom