Kama watu wa Ruanda wanachukiana kiasi hicho na kuchinjana wenyewe kama kuku unataka Marekani aingilie ya nini kwanza waafrika wanahitaji kujielimisha na kujiheshimu sio kila kitu Marekani
Usikonde hao hawataweza kwa sababu bila democracy huwezi tawala duniani. Wamebakia na udikteta wao na ujinga wa kufikiri watatawala fikra za watu kitu ambacho hakiwezekani
Hivi Watanzania ni wavivu na wajinga na wapumbavu kiasi gani mpaka washindwe kuchimba shimo la Choo ?? Ndio sababu mkaitwa shithole country kwa sababu ya omba omba bila Mpango
Nakuomba sana usimkufuru Mungu utaafhibika kwa njia ya G5 Acha upumbavu wako tafuta kazi ya kufanya na tumia akili yako visuri mungu amekujalia akili usimjaribu na kumkebehi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.