Trump ako na mapungufu yake pia kama kiongozi yeyote binadamu...
Trump analaumiwa kwa kuwaita waandamanaji wanaovunja sheria kwa kupora kuwa ni THUGS..mnasahau kuwa hata Obama alishawahi kuwaita waandamanaji kuwa ni CRIMINALS AND THUGS....
hiyo inaonyesha kuwa na double standards ...
Unasemea...
Hizi ni njama za democrats kumchafua trump.kile kifo cha jamaa inaelekea kilikua kimeundwa kwa makusudi ili kilete mtafaruku marekani..kina George Soros na Obama wanashukiwa kuandaa maandamano hayo..democrats wamechoka baada ya kuona trump atarudi 2020 bila tatizo.soo wanataka waliamshe dude ili...
Mtu unaomba kabisa kuwekwa Karantini na huumwi...duh
.we unafkiri lockdown ni mchezo nini...hata hao unaosema wanataka kuendelea n.a. shughuli zao za kawaida karibuni usidhani wameshatatua tatizo...mfano marekani Trump kaona ni upuuzi kufunga biashara nchi nzima japokua corona bado inatikisa...
Dawa mbadala za miti zipo lakini wanatulazimisha kuamini kuwa aborted babies ndio dawa.huo ni uendawazimu mkuu...we sema napiga porojo lakini ujue kuna hadi chanjo zilizotokana na mbwa...we nenda kadungwe mavirusi yatokanayo n.a. mbwa pia.si unaogopa kufa kumbe kufa utakufaga tuu😁😁
Watu wanakimbilia kuifurahia hiyo dawa lakini hawaangalii imeundwa kutokana na nini....placenta kwa uelewa wangu mdogo wa biology inahusika katika nyumba ya mtoto ambaye hajazaliwa...sasa inakuaje madokta kutumia uchafu kutengeneza dawa in the first place.???...hizi chanjo ni sumu kwetu...
Hiyo science ya kishenzi hata MUNGU haipendi...nashangaa eti unajivunia kuwa ni sayansi ya levo za juu😂😂 absolute nonsense + sheepshit....madokta wanafundishwa ushenzi ..mmeshindwa kutumia viumbe waliopo hat a mkahitaji vijusi vilivyotolewa katika mimba....????
Huo ni ushetani...soo mnahimiza wanawake kutoa mimba...no wonder hata kampuni za vyakula na vinywaji kama Coca-Cola,Pepsi na McDonald's wanashutumiwa kutumia vichanga kama virutubisho katika bidhaa zao....babu zetu hawakutumia huu ushetani kupata dawa zao..soo tusidanganyane...madokta wamesoma...
samahani kichwa cha habari nimekosea kuandika WRC-5 BADALA ya MRC-5
BIOETHICS NEWS
Is it true that there are vaccines produced using aborted fetuses?
Some of the vaccines currently used to prevent diseases such as rubella, measles, rabies, poliomyelitis, hepatitis A, chickenpox or smallpox are...
Huyo profesa ni clueless kuhusu madhara ya 5G...jiulize kwanini wanaojenga hiyo minara wanavaa HAZMART SUITS...Sars ilitokea baada ya 3G...Homa ya nguruwe H1N1 ikatokea baada ya 4G kuzinduliwa..saiz tuna corona baada ya kuzinduliwa 5G huko wuhan China mwishoni wa mwaka 2019...Spanish flu ilikuja...
Unajua ni kwann trump anauita Chinese virus...ni kwavile virus imeanzia huko.mimi sijawahukumu China kwa kuwaonea.nimrchukua hoja mbili..kwanza nchi inaongozwa kibabe hivyo hamna uhakika kama wakisemacho nikweli ama nizuga tuu..
Kuwafukuza waandishi wa habari wa USA ni kama tishio kwa wale...
China ni nchi inayoongozwa kibabe na chama kimoja ..juzi wamewafukuza waandishi wa habari wa kimarekani...soo siwez shangaa kama nikweli China wanaficha ukweli..corona ni issue nzito hawawez kuistopisha kirahis kiivyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.