Recent content by Ras B Sellasie

  1. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Jumanne Ngoma: Mgunduzi wa Tanzanite anayetaabika

    Angaluzo, Williamson hakugundua Diamond kwa mara ya kwanza, Tayari kulikuwa na machimbo mengine yalishakunduliwa na makaburu huko "kimbery" mwaka 1800 na hapa ndipo Diamond ilingulika kwa mara ya kwanza. Tangu ugundunzi wa Diamond ama almasi katika maeneo ya kimbery basi kulifanya miamba yote...
  2. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Roma na wenzake wapatikana, wapelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kisha Mwananyamala Hosp na kuachiwa

    Ni jambo jema kama wamepatkana salama. Kiu yetu na haja ni Roma na wenzie waje watueleze ni wapi walipelekwa na nani ni muhusika,ili na raia wengine tujilinde na adau.
  3. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Elly Macha mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA afariki dunia

    Mungu ampumzishe mahala pema peponi mama yetu mpendwa.
  4. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    The stone that builders refuse,shall be the head corner stone... Hongera mama.
  5. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Kumekucha sasa,naona njia ya kuelekea njee kwa mr mwigulu hiyoooo.
  6. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Hao wajumbe naona wanapiga makofii tu raisi alivyotaja hizo hela za msaada wa bank ya dunia.
  7. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

    Bandika bandua, bandua bandika. Karubandika ndio anavyofanya.
  8. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Alphayo Kidata kuwa Katibu Mkuu, Ikulu

    ,aisee kwa akili za MTUKUFU huyu itatokea tu.
  9. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari(MAT) watofautiana na Serikali juu ya kupeleka madaktari nchini Kenya

    Hakuna wakumuonyesha barabara,yeye barabara alishatengenezewa na chama cha mapinduzi katika ilani yake.
  10. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Mbunge wa Arusha Godbless Lema apata dhamana

    Kamanda yuko huru sasa.
  11. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Uchungu wa Njaa: Upungufu wa chakula Tanzania - Ripoti ya Twaweza

    Sijaelewa hapo kuwa 68% ya wananchi wa tanzania wanaishi chini ya $1•25,kwa siku 3. Ina maana kwa siku mtanzania anaishi kwa wastani wa $0.414 ambayo ni linganifu na Tsh 902.52. Labda katika utafiti wenu mngetueleza tumetoka wapi mpaka tulipofika hapa kwenye hizi 68% za kaya maskini that living...
  12. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi

    Hao wameshakula vitu vyao,hapooo...
  13. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania January Makamba amenitapeli kisiasa na CCM yao. Mungu anaishi anaona

    Tutakuamini vipi na hiyo ACA kama sio kibaraka wa MCC tena,kama haujatumwa wewe.
  14. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Marekani miaka ya 1800

    we umeona kuna ngozi nyeupe hapo shambani, leo wanaletewa dhuluma hata yule mkulima aliyekuwa shambani siku zileeeeeeeeeeeee,,,,,
  15. Ras B Sellasie

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Marekani miaka ya 1800

    wakumbeke lakini america ni taifa lisilikuwa na mwenyeji,maana walishawatimua na kuwaua,sasa naona hao weupe wanataka kuwa wabaguzi,hususani kwa ngozi nyeusi...kila mtu mgeni pale,hata huyo anayejenga ukuta si kwao,nae arudi kwao.:D:D:D
Back
Top Bottom