Huko kunako mtandao pendwa wa Instagram kumeibuka mfululizo wa picha za mwanadada murembooo wa haja anaekimbiza kweli kweli, nimejiuliza mara kadhaa huyu ni nani, ni mwanamitindo, ni video vixen, ni mcheza porn au ni nani haswa!! Anyone knowing!!!!?
Yani hawa nyumbu kwa kujitoaga fahamu, kweli akihamia huko utaskia mpaka kale kahenga kembamba ka kule kwa Mr Trump kataanza kumpa shavu na kumsifia!! Yani nyumbu ni nyumbu tu
Me nashangaa, mbona watu mnamtolea povu mtoa hoja!?? Yeye katoa mawazo yake kuhusu Moro tawn, tena kaweka na picha kusapoti maelezo yake. Sa watu mnatoa mapovu tyuuu!!! Wekeni picha za hizo barabara nzuri zilizopo Morogoro na hilo soko safi tuone hapa jamvini. Acheni undezi bhanaaa eboooo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.