Gusto nae ni mcheaji wa kubaki chelsea kuwa serious basi hapo kwa james nakubali ila gusto hapana beki hajui kukaba wala kushambulia hana madhara wa nini sasa?? moja ya anguko la chelsea ni kukumbatia na kusajili wachezaji wenye uwezo wa kawaida gusto,sanchez,badiashile,fofana,delap,pedro...