Habari!
Kama mada inavyo jieleza hapo juu. Nitakilibani wiki ya nne sasa tangu nipatwe na maradhi haya.
Ambapo nimekuwa nikipata muwasho eneo la uume, ukiambatana na ngozi kukakamaa pamoja na kutoa vigamba.
Naombeni ushauri wa kitabibu, ni aina gani ya dawa naweza kutumia kutibu tatizo hili...
Kwamujibu wa maelezo yako ni kwamba wazungu hawana masilahi na rasilimali madini ya D.R.C .Tambuwa kuwa ata wewe hapo, unaweza kumiliki mali au 'asset' kwa kutumia ubini wa mtu mwingine.
Hiyo 'tweet' umeilewa lakini?! Nini kitafuatia endapo U.S akiruhusiwa kutia muguu wake hapo?
Na je? Akipeleka misaada ya kijeshi kumuunga 'general ' Abdel Fattah kwa mutazamo wako wewe, unadhani atakuwa ametatua huo mgogoro na kuleta amani?
Halafu anamuita mwenzio 'kilaza'
Mkuu technically umechukuwa uwamzi sahihi kabisa!
Binafsi sijawai kufangamana na siasa za Tanzania kwa namna yoyote ile!
Kufungamana na siasa za Tanzania ni kujitafutia msongo wa mawazo unaoweza kuepukika.
Ni mtu mpumbavu pekee anaetumia nguvu kubwa kueneza chuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.