Search results

  1. Raphael phockus

    Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Mkuu, naomba radhi kwa kukutisha, dhumuni la kupositi picha hiyo ni kupata ushauli sahihi kutoka kwa wadau. Kalibu kwa ushauli!
  2. Raphael phockus

    Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Shukurani kwa ushauli, ngoje nijalibu na aina hii ya mamatibabu.
  3. Raphael phockus

    Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Shukurani mkuu, nitafanyia kazi huu ushauli.
  4. Raphael phockus

    Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Habari! Kama mada inavyo jieleza hapo juu. Nitakilibani wiki ya nne sasa tangu nipatwe na maradhi haya. Ambapo nimekuwa nikipata muwasho eneo la uume, ukiambatana na ngozi kukakamaa pamoja na kutoa vigamba. Naombeni ushauri wa kitabibu, ni aina gani ya dawa naweza kutumia kutibu tatizo hili...
  5. Raphael phockus

    Sudan: Mapigano makali yaibuka Khartoum, uasi wa majeshi mawili makubwa

    Uwezo wako wa kufikiri na kujenga hoja upo chini ya kiwango?!
  6. Raphael phockus

    Sudan: Mapigano makali yaibuka Khartoum, uasi wa majeshi mawili makubwa

    Kwamujibu wa maelezo yako ni kwamba wazungu hawana masilahi na rasilimali madini ya D.R.C .Tambuwa kuwa ata wewe hapo, unaweza kumiliki mali au 'asset' kwa kutumia ubini wa mtu mwingine.
  7. Raphael phockus

    Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

    Hiyo 'tweet' umeilewa lakini?! Nini kitafuatia endapo U.S akiruhusiwa kutia muguu wake hapo? Na je? Akipeleka misaada ya kijeshi kumuunga 'general ' Abdel Fattah kwa mutazamo wako wewe, unadhani atakuwa ametatua huo mgogoro na kuleta amani? Halafu anamuita mwenzio 'kilaza'
  8. Raphael phockus

    Series (Special thread)

    Wadau naomba kufaamishwa, je? hizi ni 'series' mbili tofauti! Kama ndio naomba 'link ' ya kupakuwa hii series ya juu.
  9. Raphael phockus

    Mwambieni Muokoaji na Shujaa wenu wa Taifa Majaliwa Jackson akazame katika Majivu ili azipate

    Nadhani wewe ni miongoni mwa wale watanzania wenye matatizo ya akili walio zungumziwa na Umi!!
  10. Raphael phockus

    Jinsi Utumishi walivyotuzuia watu zaidi 50 tusiingie kufanya usaili wa ajira

    Mkuu vipi mwaka wa kuzaliwa ukiwa tofauti kwenye nida na cheti cha kuzaliwa.
  11. Raphael phockus

    Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

    🤔🤔🤔 "Ikulu yenu"!! Na akinanani? Wewe unafanya kazi gani hapo ikulu
  12. Raphael phockus

    Naachana na harakati za kisiasa Tanzania, hazina faida yoyote

    Mkuu technically umechukuwa uwamzi sahihi kabisa! Binafsi sijawai kufangamana na siasa za Tanzania kwa namna yoyote ile! Kufungamana na siasa za Tanzania ni kujitafutia msongo wa mawazo unaoweza kuepukika. Ni mtu mpumbavu pekee anaetumia nguvu kubwa kueneza chuki...
  13. Raphael phockus

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Majibu ya kibabe kutoka kwa mwanasaikolojia ya mausiano.👇👇👇
  14. Raphael phockus

    Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

    Hivi ni nani aliwambia huko. A-Level elimu inatolewa bure?! Kwanza Elimu Bure siyo sela ya taifa.
  15. Raphael phockus

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Pale pepa inapokuwa imekukaba na ukaona jilani yako anasombelea answer sheets! 👇👇👇
  16. Raphael phockus

    Kidukuliko spotted, on his way to "Mishemishe"

    Kidukulilo ndo Countrywide, sikuhizi kaja kivingine.
  17. Raphael phockus

    Shaka Hamdu Shaka: CCM haina mpango wa kushughulika na Katiba Mpya, kipaumbele ni kujenga nchi

    Hao wananchi walio wengi bado hawajajitambua na wala kuuona umuhimu wa katiba mpya. Ndomaana swala la katiba mpya limeonekana kuwa ni takwa la wanasiasa au kikundi cha watu. Kiujumla watanzania bado tupo kwenye usingizi mzito ulioambatana na mvua.
  18. Raphael phockus

    Ni inchi gani ikitolewa Jumuiya ya Afrika Mashariki itakuwa imara?

    Aliye iingiza Sudani Kusini kwenye jumuia alipaswa kuiingiza na Somalia. Kiujumla Sudani Kusini na Rwanda zilipaswa kutohusiswa kwenye jumuia.
Back
Top Bottom