katubu ewe jamaa Taifa lisalimike ona hata chrismas mwvua imekataa kunyesha.,katika maisha yangu yote sijawahi kula chrismas na jua na vumbi kama mwaka huu.
Thanks brother tell dem.,Dis people they don't walk da track of our world history.,dey wan't to pull us to hell.
Togather we say No!And we mean it "BIG NO".
Eee Mungu Baba Muumba Mbingu na Ardhi,ikiwa leo ni siku muhimu katika kalenda yako na watu huku waamini na kutukuza huku wakikuomba katika 'kuokoa Taifa,Nchi Tanzania,Taifa linaloangamia kwa kasi kwa watu wake kukosa maarifa,Eee Mungu "Ng'ofoa" roho za watu kama hawa.
Eee Mungu ikiwa leo ni siku iliyo muhimu katika kalenda yako na wengi huku watukuza na kukuomba katika kuikomboa Nchi Tanzania,Taifa linaloangamia kwa kasi kwa watu wake kukosa maarifa,'ng'ofoa' roho za watu kama hawa Taifa lisimame.
Sawa basi acha nikubaliane nawe naona umekuja kuokoa jahazi.,hebu basi twambie huko rumande mlimweka kwa mda gani kwani nakumbuka hata weye ulisema Lema anapoteza ubunge na blaablaa nyiiiiiiingi ziso mashiko kama kawaida yenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.