Recent content by ranicta nicta

  1. ranicta nicta

    Kati ya Mama mzazi na mke/mume nani utakaemjali?

    kila mtu aangalie mambo yake mwenyewe
  2. ranicta nicta

    Kati ya Mama mzazi na mke/mume nani utakaemjali?

    Siku hizi wanaume mmekuwa wabinafsi sana, tugeuze mada angekuwa ni mme na mama yupi nimuokoe walahi hata kama kulikuwa na urahisi wa kumwokoa mme ningemwacha niende kwa mama wewe upambane na hali zako
  3. ranicta nicta

    Kwanini sitaki kupata mtoto

    That is defensive mechanisim
  4. ranicta nicta

    Kwanini Sokwe alambi "K"kama wadamu

    Angalia vizuri labda huyo sio sokwe atakuwa kondoo
  5. ranicta nicta

    Nini hupelekea mtu kuasi nyumbani(kutorudi nyumbani kabisa)

    Mimi ni ke nimelelewa na walezi wapo hai nilichokipata Mungu anajua mustakabali wa maisha yangu mpaka sasa haueleweki siwezi rudi nyumbani hata mlezi mmoja alinitafuta tukayajenga huwa tunaonana kazini kwake tu lakini mwingi ni mkaidi ambaye anateswa na matendo yake maovu ikitokea kuna event...
  6. ranicta nicta

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Usisahau pia kutupa mrejesho kilichojiri najua ni jana hiyo. Pole kaka tamaa zinatuponza tulio wengi
  7. ranicta nicta

    Kwa wale tuliozaliwa July Tukutane hapa,

    ‎Open this link to join my WhatsApp Group: BORN IN JULY
  8. ranicta nicta

    Mimi ni Masonic pre-member, nina hofu na mwanamke nilienae

    Kupitia huyo mkeo wewe utakombolewa, kamwe nuru na giza haviwezi changamana
  9. ranicta nicta

    Binti utakaeolewa na mimi, jiandae kisaikolojia kwa haya mambo

    Si kwa sheria hizo bora uende kizazi hiki ndugu nani utampata kwani wewe na nduguo ni malaika au?
  10. ranicta nicta

    Msaada UDOM: Reg Form na Medical Examination Form za udom ziko sehemu gani.

    Ukifungua udom ingia sehem ya Alis click hapo utapata admission letter hapo2 upande wa kushoto juu utaona other document click hapo utapata form 3 medical, registration na fee structure
  11. ranicta nicta

    msaada watu wa udom

    Mvivu ww hauko serous mbona mtandao uko fresh tuma hela nikufanyie hiyo kazi
Back
Top Bottom