Recent content by Range rover

  1. R

    JamiiForums Tanzania Majaribio ya treni ya abiria iendayo mkoani Kilimanjaro

    Hicho ki emoj ndio delux, weka picha
  2. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    Nnaingia mwanza hivo daah aisee sirudi tena Ku drive gari umbali huu I said NNOOO!!! Nimekoma.
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

    😆😆😆😆😆
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Mbeya hatupo tayari kwa Tulia Ackson

    Huyo mbana pua wa ccm ni kiburi sana na PhD yake ya mahakama fanyeni mumkomoe maana keshawatoa kafara vijana wawili wa chama cha biringanya.
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili jambo lilifanya tuachane na mpenzi wangu kwa maumivu, mpaka leo nimekuwa hivi

    Wenye range hatuongei wala nini kivumbi huku sasa👉👉👉👉
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    endelea kuwatafuna mzee nipo singida. 😆😆😆
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    nna drive nataka ni enjoy mandhari ya Hii nchi, hapa nimeshapark Nipo singida sasahivi.Safari itaendelea kesho.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHASO - UDOM yuko mahabusu wiki ya pili sasa kwa kosa la kuwashawishi wanafunzi wa mwaka wa kwanza kujiunga na CHADEMA

    Kupitia jela kwa mwana cdm ni kama kufanya tambiko au kutawazwa au kusimikwa au kujitoa kafara baada ya hapo ndio unakuwa umeiva tayari kwa kuliwa.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    we si umetukaribisha Jiji la Sato ndio nakuja hivo.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    halafu hiyo avatar yako nikitoka mwanza hii range nakuachia nimeanza kuteseka.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    bora hii kidogo afadhali.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    nimekwambia naenda mwanza kiongozi hunielewi???
  13. R

    JamiiForums Tanzania Dar to Mwanza

    Hellow members Nipo Kibaha nnadrive kwenda mwanza njia sizijui vizuri hivi nikipitia arusha si itakuwa poa, coz nna cruise 150 km/hr. Naombeni ushauri
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA atishiwa maisha, kisa fomu dhidi ya Mbowe

    Mbowe mwenyewe jela inamsubiri.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Huyo mbowe nae ni kama ccm tu hizi siasa za bongo ni biashara na mtaji mkubwa ni wananchi chadema kuingia ikulu sahau wabaki kuipa jambajamba ccm ifanye mambo ya msingi.
Back
Top Bottom