Hili jambo lilifanya tuachane na mpenzi wangu kwa maumivu, mpaka leo nimekuwa hivi

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
488
Points
1,000

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
488 1,000
Ha ha ha.... Maskini tuna shida yaani unaweza jikuta unamchukia tajiri bila sababu.au sababu ya kipumbavu tu kuwa a anunuaje embe tsh 2000 wakati embe ni tsh 500? Na wakati mwingine ukimsikia tajiri anasema zile mil 100 zitume kwenye account yangu ya matumizi.ukiwa na demu wako unaaanza mpondea jamaa kuwa anajifanya mambo safi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni wivu tu.

Range rover ya kiduku lilo isiwaumize wenye vifaa vya usafiri kama IST,Carina,vits,Rav4, n.k kama wewe huna usiamini wote watakuwa hawana.
MASIKINI TUJIFUNZE KUKABALI KUBARIKIWA KWA MWENZAKO KUNAONGEZA NEEMA KWAKO PIA.
 

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
962
Points
1,000

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
962 1,000
hizi bado sijaamua kuuza mkuu.some days ago nliuza ford ranger wild track.nikawa nimenunua JEEP. nikiwa tayari kuuza ntakwambia ndugu yngu.au nikienda UK kama utahitaji naweza kukuunganisha na jamaa zangu wanakuuzia kwa bei nzuri sana.tena unapata gari haijavuka hata kms 20,000. ni kama mpya kabisa.

Ila Mkuu umezungumza vyema ni bora kujali Afya mapema wanasema, KINGA NI BORA KULIKO TIBA,

Mkuu nahitaji iyo Range Rover yako tuongee Bei Pm
 

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
3,140
Points
2,000

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
3,140 2,000
Unajua sisi watu wenye future huwa tunajikinga sana na kujali maisha yetu. Nilipokuja Tanzania kuishi from Sweden nlikuwa namekuja na vifaa vyangu vya kupimia afya, HIV/AIDS na mengine ambayo ni ambukizi.

Nikampata dada mmoja yeye baba yake ni Mkurugenzi kampuni fulani nikamwambia twende tukapime damu na kinywa pia ili tuwe huru kuwa wapenzi.

Tukapima siku ile Aga Khan then nliporudi naye home nikampima tena, maana vifaa vyangu kama mtu amepata ugonjwa saa moja lililopita inaonesha na kuanza sex rasmi.

Huyu dada alichoka kuwa akija kwangu kabla ya sex wote tunapimana ili tusiambukizane hata UTI. Siku nimempima nikamkuta na UTI nikamwambia muda huo huo twende tuingie kwenye Range Rover twende hospitali, nlimwambia ntamlipia nimpeleke Aga Khan kule town.

Akaanza sababu, mara akasema hataki tupande Range Rover anataka twende na Mercedes Benz. Nikamwambia sawa, akanambia aaargh basi, mi staki ntaenda kesho mwenyewe.

Mimi kwa huruma nikamwambia "Baby nakujali sipendi uwe na ugonjwa wowote" alinijibu jibu ambalo nalikumbuka sana. " Aaargh we nawe una complicate sana issues, wenzio mbona walikuwa wanasex tu na hawaumwi? Wewe kabla ya sex unataka kupima kila mara, unanikata stimu"

Basi nlipomrudisha kwao siku hiyo ndo nlipo block namba zake, niliona huyu dada kama yeye hajijali, mimi atanijali vipi?

Unajua sisi wengine we have full life now and ahead, we have a lot to lose. Sasa habari za sex zembe zinakuwa ngumu sana kwangu, ukichukulia nipo fresh na vipesa kidogo vipo pamoja na akili. Then why nife kwa kitu ambacho kinakingika?

Mi hata romance mpaka kwanza nihakikishe nimempima girlfriend wangu kinywa ndo tutaanza hayo mambo.

Maisha yenyewe ndo haya haya hamna mengine. Lets spend it wisely. Tz mnatunyima nini? Nmekaa sana nje ya nchi nahisi ntaanza tena sahau mitaa ya DSM.

I miss you guys.
Kuna post ukisoma unachoka na unaingiwa na uvivu kuchangia. Haya Kiduku Lilo
 

katichi

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
2,040
Points
2,000

katichi

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
2,040 2,000
hizi bado sijaamua kuuza mkuu.some days ago nliuza ford ranger wild track.nikawa nimenunua JEEP. nikiwa tayari kuuza ntakwambia ndugu yngu.au nikienda UK kama utahitaji naweza kukuunganisha na jamaa zangu wanakuuzia kwa bei nzuri sana.tena unapata gari haijavuka hata kms 20,000. ni kama mpya kabisa.
Na mimi unishtue mkuu! Nataka iyo kitu ukitaka kuuza
 

Forum statistics

Threads 1,381,732
Members 526,184
Posts 33,810,277
Top