Hatukatai kussaidia lulipa gharama za daraja lkn sio kwa mtindo huu. kama nssf wanataka hela zao zirudi kwa haraka zipo njia nyingi za kufanya unaweza ukaongeza hata 500 ktk kodi za magari itarudi fasta na kuwapa unafuu wana kigamboni lkn hii yakuchaji hadi guta nawakati kuendesha guta n adhabu...
Tujadiri kwa facts zaidi mwenye kuwa Na ushahidi weka hadharan Lasivyo hiyo sheria mpya ya cyber crime itakula vichwa sana kma ikisimamiwa maana jambo lolote utakalopost kama halina ushahidi n tatizo
Nilichokigundua kuhusu kivuko cha Feri jinsi wakaguzi wanavyofanya kazi yao ya kugagua in kwamba hawana uelewa wakutosha napia wanaona uvivu kumpekua mtu ili wajue kabeba nn ndan kiukwel kama unavyosema nyabhing MTU mwenye c4 anaweza akafanikiwa kupita nakuleta majanga. Jana nimevuka nimebeba...
Andika proposal mzazi hilo wazo n xuri sema kibongo bongo tunajistukia. Ila kabla serikal kuridhia lazima kitengo maalum cha afya kianzishwe ili kidil Na Hawa makahaba kama kuwapa counseling ya safe sex Na kuwapatia condom
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.