njang'et
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 758
- 227
Wakuu niende tu moja kwa moja kwenye point, kwanza kabisa binafsi naamini serikali yetu inapoteza mapato mengi sana!
Naamini huu ni wakati wa serikali kuharalisha hii biashara na iwe biashara harali kabisa na wanaoifanya walipe kodi. Biashara ya hawa wadada wanaojiuza, juzi kati nilipita mitaa ya Sinza usiku, Dah! Sikuamini kabisa nilichokiona kutokana na wingi wa wadada hao
Sasa nikafikiria hivi;
Kama bei yao nasikia ni Tsh. 10,000/=fasta fasta, Je iwapo kila Dada anao uwezo wa kupata kimo cha Tsh 30,000/= kwa siku, ambapo ni vichwa vitatu, kwa mwezi itakuwa ni 30,000 x 30 = 900,000/=
Je, akilipa kwa siku Tsh 5,000/= kama kodi kwa serikali, kwa mwezi itakuwa ni Tsh 5,000 x 30 = Tsh 150,000/=
Je, wakiwa wadada 500, Serikali itapata kodi kiasi gani? Itakuwa ni Tsh 150,000/= x 500 = Tsh 75,000,000/= kwa mwezi..
Maswali ya kujiuliza hapa ni;
1: Je, kwa mwaka serikali itapata kodi kiasi gani?
2: Je, ni kweli kwamba hao wadada wapo 500 ama ni zaidi ya hiyo namba?
Serikali ingezibiti tu kuwa kila mdada ahakikishe kila mwezi analeta vyeti vyake vya Afya kutoka katika moja ya kituo cha Afya kilichotengwa maalum kwa ajili yao. Na iwapo utagundulika kuwa umeathirika halafu bado ukawa unafanya biashara, basi adhabu yako ni moja tu, KUNYONGWA hadi kufa.
Kwa kila eneo iwepo ofisi ya kudhibiti maswala ya Afya pamoja na kodi yetu!
Ama wakuu nyie mnafikiriaje?
K.u.t.o.m.b.w.a yeye alafu sirikali ichukue hela!!..duh itakuwa laana.