Recent content by ramso juma

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake msijirahisishe kwa wanaume ili muolewe

    Hata ukibana VIP hutaolewa bila kutumia mbinu hizi. Nicheki nikupe
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mwanamke kanichanganya, nilimwambia asitoe mimba akatoa

    Inawezekana alikuwa hakuamini kama utamuoa. Kama unampenda sana muoe akuzalie akiwa ndani. Na kama si chaguo lako kama mke. Basis achananae
  3. R

    JamiiForums Tanzania Namaliza degree mwezi ujao, nitaenda wapi?

    Anzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji ntaji mdogo tu waweza kuanza na kuku 2 nakuendelea nakuhakikishia hio njia niyautajiri. Peleleza na ufuatilie kwenye mitandao (google sachi)upate muongozo wa kufuga kuku
Back
Top Bottom