Recent content by Ramo

  1. Ramo

    Aliponiona tu ameanza kulia, maamuzi yana gharama zake!

    Kama tahadhari tu mkuu,...wanawake saivi wana tabia yakutegesha mimba asee..
  2. Ramo

    Biashara yangu imefilisika mtaji kutoka milioni 50 hadi 15. Nifanye nini?

    Wekeza kwenye wakala wa fedha...tafuta eneo lenye mchanganyiko skidoo,ingia sokoni..
  3. Ramo

    Phone4Sale Infinix Hot 9 play

    Nina 300,000 natafuta Google Pixel used ianzie 3 xl...
  4. Ramo

    Hivi utaishi naye vipi bro mkubwa wa familia yenu baada ya mzee wako kukutonya kuwa huyo bro alitaka kumtoa mzee wenu kafara?

    Mleta mada nawe unaonekana kichwani mweupe.. fatilia kwanza maana ya kafara ya damu nini....
  5. Ramo

    Hivi utaishi naye vipi bro mkubwa wa familia yenu baada ya mzee wako kukutonya kuwa huyo bro alitaka kumtoa mzee wenu kafara?

    Naunga hoja, hapo mzee ndiye aliyetaka kumtoa kafara mwanaye ila anatengeneza security kimtindo..
  6. Ramo

    Nimekutana na laana ya dunia

    2018 nilikutana na maajabu makubwa beach,.. eti nimetoka kuogelea jamaa likanifata likaniambia eti naonekana nimebalikiwa kwa babu..huku linaomba namba za simu.. Yaani ni story ndefu,ila nilishinda yale maovu.
  7. Ramo

    Video: Uchawi haupandi ndege, juju la Simba halikuzaa matunda Johanesburg

    Simba bila kutumia uchawi,ni 0 kabisa...
  8. Ramo

    Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

    Wewe upo tayar kuona mtu anaichokonoa familiar yako ( wewe,mke na watoto wako?).....fungua fuvu hilo wewe.
  9. Ramo

    Nina shida na mtu aliyeko South Africa tafadhali

    Wewe hutaki kumwamini; yeye atakuamini vipi?....
  10. Ramo

    Jinsi gani uliweza kukabiliana na Tapeli aliyekudhulumu fedha au mali zako na ukafanikiwa kuzirudisha?

    Binadamu wabaya sana na ukiamua kuwapiga vitu vizito basi unaweza kuwamaliza binadamu, cha msingi punguza huruma (inapobidi pitia kwa sangoma ty)na punguza kuwaamini binadamu....
  11. Ramo

    Papa Francis Adai "Hakuna Paradiso /Mbinguni

    Kwenye mji wa Jerusalem hapo tumepigwa...
  12. Ramo

    Nampa laki 5 ya matumizi kila mwezi, lakini kila siku nalishwa kabeji

    Laki 5 ni pesa kubwa sana kwa matumizi ya nyumbani...+ pia mkewe ni mtumishi, naimani anachangia japo laki moja kwenye matumizi. LAKI TANO NI SALARY YA WATU WENGI KATIKA TAIFA HILI LA TANZANIA.
Back
Top Bottom