Recent content by Rammie Singh

  1. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania Kujitambua na mabadiliko binafsi

    Hizi tips to maisha...
  2. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Kubadilisha mitazamo ambayo tunayo ndio tatizo, kufikiria watanionaje nikibadilika na jamii inayotuzunguka inafanya vitu reality vionekane theoretically
  3. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania Usikariri maisha ukianza tu kufanya maamuzi sahihi kutokana na maumivu yako wewe sio mwenzetu tena..

    Maisha ni magumu na yamejaa changamoto nyingi zisizotarajiwa Hata hivyo, unapaswa kujiuliza mambo yafuatayo: Kiasi gani cha mawazo na mvutano wa kifikra Unajisababisha bila sababu Kwa kujenga dhana Na kujikumbushia hofu na maumivu yaliyopita akilini mwako? Ni mara ngapi unakataa kuachilia...
  4. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania Kujitambua na mabadiliko binafsi

    Mambo sita ambayo hufanya amani ya ndani ya moyo ( nafsi ) wako iwe rahisi: Kutoogopa mabadiliko Kuwa mwema kwa wengine Kua mwaminifu na wewe mwenyewe /Honesty with yourself Fanya vitendo kwa makusudio Kujitambua Shukrani
  5. Rammie Singh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Roho inaniuma sana

    😂😂😂😂😂 ndio awe ananuka mdomo sasa unaweza hisi upo gamboshi na mtoa roho
  6. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania Marekani ni baba wa demokrasai na haki Dunia ila ni kwanini hawajawahi kumpa mwanamke nafasi ya kuwa Rais?

    Demokrasia ni wananchi kupata access kwenye serikali ila sio haki wala nafasi za wanawake katika uongozi .
  7. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuguzi na changamoto na nini kifanyike katika kuboresha kada hii muhimu ya afya

    Bila wauguzi fani ya afya ingekua ya hovyo sana.
  8. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uuguzi na changamoto na nini kifanyike katika kuboresha kada hii muhimu ya afya

    Idadi ya waauguzi itakapo ongezeka makazini kwenye vituo vya afya na mahospitali itaongeza nguvu kazi katika utendaji kazi na utoaji wa huduma..ni sahihi sana Siah1998
  9. Rammie Singh

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muda katika malezi ya watoto na athari zake kwenye maisha ya mtoto na jamii yake

    Hili kwa upande wa pili limepelekea watoto nao wakikua kutowajali wazazi wao na familia zao wakati ambao wanahitajika kutoa msaada wa ukaribu sana.
Back
Top Bottom