Tbt ni kwa ajili ya siku ya Alhamis na huwez eka picha jumatano ukaandika tbt ila jumatano utaandika wcw na jumatatu utaandika mcm jumanne ukiandika rtt!
SheriA za mafao zipo kwenye mifuko ya hifadhi hata mpendazoe naamini kapata mafao ya makato ya mshahara wake hili si suala la kujadili mafao ni haki ya mtu
Baba hapo umechukulia maeneo ambayo Chadema ina wabunge tuu umeshindwa kuona kua kuna watu walipiga harakati kabla ya hayo makabila mf. WapembA na Wazanzibar tangu 1987 walipoanza kudai vyama vingi au uwezo wa kabila kuendesha chama unapimwa kwa kua CDM?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.