Recent content by ramase

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawasiliano ya mwalimu yoyote shule ya Nsongwi Juu Secondary School iliyopo Mbeya vijijini

    Mkuu nichek basi nakutafuta sana. ni pm basi namba zako za simu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Asilimia 15 ya Bodi ya Mikopo kuanza kukatwa kwenye mshahara ghafi(basic) kuanzia mwezi Januari

    Muombe aguswe na wakati yeye ndo kai sign ianze.... Kama ni huruma aneona before hajamwaga wino Mimi sina tena cha kuongea. yamenikuta
  3. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    kwani Dr. wewe uko wapi? Au ndo umekimbia nchi!!!!!!! Hatutaki kuamini umekosa uzalendo kiasi hiki
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Ninapokubaliana na kutofautiana na Magufuli

    kwani Dr. wewe uko wapi? Au ndo umekimbia nchi!!!!!!! Hatutaki kuamini umekosa uzalendo kiasi hiki
  5. R

    JamiiForums Tanzania Pilipili hoho fresh from shamba

    Tunauza pilipili hoho kwa jumla na rejareja. Shamba lipo Mkuranga, tuna uhakika wa kuvuna magunia 20 yenye kilo 100 kila wiki. Unaweza kuletewa mahali ulipo au ukanunulia shambani. Pia kama una ofisi rasmi sio lazima kulipa cash unaweza kuchukua halafu pesa ukatoa baadae baada ya kùuza kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pilipili hoho fresh from shamba

    Tunauza pilipili hoho kwa jumla na rejareja. Shamba lipo Mkuranga, tuna uhakika wa kuvuna magunia 20 yenye kilo 100 kila wiki. Unaweza kuletewa mahali ulipo au ukanunulia shambani. Pia kama una ofisi rasmi sio lazima kulipa cash unaweza kuchukua halafu pesa ukatoa baadae baada ya kùuza kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

    Kwanza wewe ni Mkristo, acha upotoshaji. Sitaki mijadala ya kijinga kuelemishana na mtu aliyejiandaa kubisha. Unacho taka si waislamu wakujibu, basi ungeenda misikitini ujibiwe.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    jamani semeni mikoa na vituo hivyo tujue wakuu...tunahamu tuone ccm inavyo anguka anguko kubwa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Kauteka? au kakosa watu kaamua kutembela wagonjwa vituoni!! angeuteka angepata nafasi ya kwenda clinic ya wazazi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mambo nilijifunza kutoka kwenye mkutano wa CCM

    Jibuni kubeba watu kweny malori kutoka pwani, morogoro, Dodoma,singida, mtwara na lindi ili wajaze uwanja wa janwani.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    huna akili, Fikiri kwanza unapotaka kusema kabla
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Duuuh! aiseeee, una roho ngumu!!!! huoni aibu? hata nape mwenyewe kanyamaza
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Duuuh! aiseeee, una roho ngumu!!!! huoni aibu?
  14. R

    JamiiForums Tanzania TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Duuuuu!!!!!! aibuuuuuuu.
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Ha ha haaaaaa, magufuli kweli amehemewa. Na anaye muhemea kamlalia. Mimi nina amani sana leo. Kumbe watnzania wameamuka? Mwaka huu ccm mtaiona ya moto, mkijitahidi kuiba mtapata asilimia 25. UKWA oyeeeeeeeeeee
Back
Top Bottom