Recent content by Ramaar hasheem

  1. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva

    Nna miaka 29 Nmefanya Bolt kwa miaka miwili. Ndio nna wadhamini wanaofanya kazi serikalini. Ahsantee
  2. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva

    Ameen Jazakallah Khairan
  3. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva

    Tuna perceptions tofauti. Zawadi ni hiari na hutolewa na mtu bila kulazimishwa Hongo ni fedha inayotolewa ili kumpaka mafuta au kumpendelea mtu ili apate faida fulani kinyume cha sheria au taratibu. Sasa hapo sijajua umekusudia lipi natoa rushwa au natoa zawadi kwa hiari yangu.
  4. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva

    Inategemea na Gari ila kama ni petrol basi ni 600,000 kwa mwezi 150,000 kwa week.
  5. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva

    DEREVA NATAFUTA GARI LA MKATABA/MAHESABU KWA AJILI YA BOLT – DSM 🚗 Anatafuta gari kwa ajili ya kazi ya Bolt mkoani Dar es Salaam. Ni dereva mzoefu na mwaminifu anayetafuta gari imara kwa ajili ya biashara, akilenga zaidi magari yenye ufanisi kama Toyota IST, Passo, Vitz, Ractis, RunX au...
  6. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu

    Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na vitambulisho na passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0611 947177 Ahsanteni.
  7. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva mzoefu mwenye akaunti ya Bolt anahitajika

    Kwenye Bolt haufanyi Movement tu bila sababu maalumu. Unaweza kukosa hesabu ila ni 1% chance ya kukosa ila ukikosa it means mafuta hayajatumika.
  8. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva Bolt

    Allahumma Ameen Nashukuru Kaka
  9. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Udereva Bolt

    Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu. Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na vitambulisho na passport kwa ajili ya usalama wa mwajiri. Namba zangu za mawasiliano 0611 947177 Ahsanteni.
  10. Ramaar hasheem

    JamiiForums Tanzania Dereva mzoefu mwenye akaunti ya Bolt anahitajika

    Habari Endapo atakuwa hajapatikana basi mimi nipo Contact 0611 947177
Back
Top Bottom