Nataka nianzishe biashara ya kuosha magari, bajaji, boda boda n.k aina ya CAR WASH ila kabla sijaanza inanibidi nifanye utafiti kuhusu biashara naomba kwaa aliye na uzoefu na hilo aniambie faida na hasara zake.
Na vifaa vinavyohitajika ili isimame hii biashara.
Wana Jf naomba kujua kati ya west point, samsung, LG na hisense ipi company ya mashine za kufulia au in general kampuni gan inatisha kweny vifaa vya electronics
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.