Recent content by Ralph Wapps

  1. Ralph Wapps

    Singularity microfinance

    Mkuu uinnstall app yao wasiwe na access ya contacts zako Watakuumbua
  2. Ralph Wapps

    Biashara gani nzuri ya kuanzia kwa mjasiriamali mdogo

    Ingia mtumbani chagua pea zako kali za viatu Visafishe vizuri tafuta eneo zuri Tengeneza shoe rack moja kali sana Vipange usipouza nipigie
  3. Ralph Wapps

    Watu gani wanaotakiwa kutokosekana kwenye simu au circle yako

    Hapo kwenye polisi awe mkuu wa kituo hawa wengine hawana msaada kama huamin siku upate msala ukifika kituon amekukamata askari usiyemfaham ukimfata polisi unayemjua utaskia “we ongea nae tu hana shida” Bora ufahamiane na mkuu wa kituo tuu 7. Boda au baja 8. Kiongoz wa serikal ya mtaa m/kit...
  4. Ralph Wapps

    No matter how good you are, you will still be evil in someone’s story

    Surely let’s try to be ourselves and we’ll live peacefully
  5. Ralph Wapps

    SoC02 Mahari isiwe kikwazo, mtoto wa kike sio bidhaa

    Naunga mkono hoja [emoji736][emoji736][emoji736]
  6. Ralph Wapps

    SoC02 Mahari isiwe kikwazo, mtoto wa kike sio bidhaa

    Yeah yani ndo tulipofikia wazaz wanashindana kupokea mahari kubwa kama sifa
  7. Ralph Wapps

    SoC02 Mahari isiwe kikwazo, mtoto wa kike sio bidhaa

    Kwaio ukiambiwa utoe mahari mil 4 we una 3 ina maana we ni maskini au sijakuelewa
  8. Ralph Wapps

    SoC02 Mahari isiwe kikwazo, mtoto wa kike sio bidhaa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa
  9. Ralph Wapps

    SoC02 Elimu: Kutoka ufugaji wa kuku kumi na moja mpaka maelfu

    Wazo zuri sana mkuu sasa changamoto ni hilo banda la kisasa tuma picha tuone namna ya kumuelekeza fundi namna ya kulijenga
  10. Ralph Wapps

    SoC02 Mahari isiwe kikwazo, mtoto wa kike sio bidhaa

    Katika maisha tujifunze kuwa watu wa mabadiliko na sio watu wa kukomaa na misimamo isiyo na tija kwakuwa misimamo ya namna hii huwa inagharimu sana Kuna mzee mmoja ana mabinti watano hakubahatika kupata kijana wa kiume sasa kama unavyojua maisha ikatokea siku ya siku binti yake mmoja akaja...
  11. Ralph Wapps

    Faiza Ally (Ex wa Sugu) na battle isiyoisha kwa Mke wa Sugu

    Katika maisha kma wanaume kuna muda huwa tunajichanganya. Sugu alijichanganya sana kuzaa na Faiza deep inside ye mwenyew anajua
  12. Ralph Wapps

    Zembwela katika Super mix

    Haya bwana nabii mwenzio anapiga pesa wasafi now [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom