Recent content by Rakeem

  1. R

    JamiiForums Tanzania Research Consultation for Master's Students

    Uchani kudumaza watu nyinyi ndo maana maofisini huku limtu linakua na masters alafu jeupee hata kuchangia hoja haliwezi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa kibaha kongowe.

    15 by 15 milion 5 ! Mzee hizo ni sqm 225 tu hata robo ya robe heka hakijafika
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Chanika

    Mzee ume add value sio!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Shamba Linauzwa Vianzi, Vikindu

    Weka bei ww au dalali!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung tab s 8.4 3G

    Ipo samsung tab 10.1.kama upo interested ni pm
  6. R

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya bei poa katika Wilaya ya Ilala kata ya Chanika kuanzia Shilingi 1, 500.000/=

    Size gani weka full details mkuu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mashamba yanauzwa KIBAHA

    Nimeambiwa kuna masahamba eka 1 laki 5 mkuu hapo kibaha mbona ww so expensive mkuu una title deed?
  8. R

    JamiiForums Tanzania 2005 SUZUKI SWIFT For Sale

    Bei unaua kaka
  9. R

    JamiiForums Tanzania Car for sale: 5.5Mil

    Hii gari kama bado ipo nijulishe tuongee vizuri.Hope discount ipo hapo
  10. R

    JamiiForums Tanzania Jipatie nyumba ya kupanga tabata segerea.

    Weka picha mkuu.Nahitaji kabisa.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Update nssf

    Bado mapema mno.Ajira za January zile ndugu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kazi za Estate officers-TRA

    Jamani nani atujulishe lini wanaita kwa interview maana kuomba Kazi tu ilikua Kazi.TRA badilisheni online application system yenu sio user friend kabisa
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya bachelor of procurement

    Kasome popote tu mwisho wa siku ufaulu final paper na research za PSPTB.Bro wangu alinzaga foundation mitaani na private na sasa ana Cpsp life goes on na yuko sawa kabisa.Na mimi nimesoma Ardhi University lkn nimeona pia niongezee na haya mambo November napiga P1 na Inshaalaha CPSP...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya PSPTB review classes....

    Professional 1 ndugu huko kwenye manunuzi tunaona patama
Back
Top Bottom