Viwanja vya bei poa katika Wilaya ya Ilala kata ya Chanika kuanzia Shilingi 1, 500.000/=

Sir Kanumba

Member
Dec 25, 2014
49
2
Viwanja vinapatikana jirani kabisa na stand ya Chanika, bei ni kuanzia Shilingi Milioni moja na laki mbili, hadi 3.6. Malipo yanaweza kufanyika kwa awamu tatu, wahi upate makazi yako mapema.

Contacts: 0715 41 64 64
 
Viwanja vinapatikana jirani kabisa na stand ya Chanika, bei ni kuanzia sh miliom moja na laki mbili hadi 3.6 malipo yanaweza kufanyika kwa awamu tatu, wahi upate makazi yako mapema cont 0715 41 64 64

Kiwanja kina ukubwa gani?
 
Viwanja vinapatikana jirani kabisa na stand ya Chanika, bei ni kuanzia sh miliom moja na laki mbili hadi 3.6 malipo yanaweza kufanyika kwa awamu tatu, wahi upate makazi yako mapema cont 0715 41 64 64

Vipi viwanja bado vipo nimtume mtu mkuu?
 
Viwanja vinapatikana jirani kabisa na stand ya Chanika, bei ni kuanzia sh miliom moja na laki mbili hadi 3.6 malipo yanaweza kufanyika kwa awamu tatu, wahi upate makazi yako mapema cont 0715 41 64 64

humu ndani kumezuka kamtindo flani hivi ka kutapeliana,hawa watu kila leo wanakuja na ID mpya wanatangaza viwanja ukiwapigia simu wanaleta hadithi nyiiingiii halafu maelezo yao hayaridhishi kwa kweli.
 
Jipatie Kiwanja chako sasa katika mji mpya wa chanika bei ni kuanzia sh million moja na laki tano
malipo unaweza kulipa kwa awamu
ni muda muafaka wa kuacha kupanga sasa
wasiliana nasi kwa namba 0715 41 64 64
 
Wewe mkazi wa Dar na maeneo ya jiran, wewe ambae umeshachoka kupanga, wewe ambae umechoshwa na kero
za wenye nyumba ni wakati muafaka wa kupata kiwanja chako
Bei ni kuanzia sh 1500000 million na laki tano
malipo unaweza kulipwa kwa awamu
Tupigie kwa namba hizi 0715 41 64 64 Au 0784 41 64 64
 
vina ukubwa gani? maeneo ya hivyo viwanja yanalenga watu gani squatterz au ni ya watu wa hali ya kati kiuchumi?
 
Vina ukubwa miguu 20 kwa kumi na tano bos, maeneo yanalenga Watu aw hali ya kati kiuchumi, nibeep tuongee kaka
 
Back
Top Bottom