Jipatie nyumba ya kupanga tabata segerea.

Jipatie nyumba ya kupanga tabata segerea.

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,041
Reaction score
2,131
Nyumba yenye vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo cha kujitegemea.barabara inafika,kituo sanene na unaingia kulia kama unatokea city centre na kunja kushoto km unatokea tabata segerea mwisho.Inapatikana kwa laki 2 tu( 200,000) kwa mwezi.NYOTE MNAKARIBISHWA,0756 587175
 
Mkuu tupia picha ya muonekano wa nje na ndani ya nyumba.
 
Ngoja nifanye mchakato wa kupiga picha.Sema aka katorchi ninakotumia inabidi mnivumilie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom