Recent content by rajo mty

  1. R

    Wanasimba wanaompinga Mangungu wana sababu gani za mashiko?

    Wanao mtaka ni wanayanga sijui kwanini?yaani siki zote kizuri bana kinajiuza. Miaka mitano timu haijachukua ubingwa.imefungwa mara sita mtawalia na yanga.afu unataka mashabiki wa simba waendelee kumuunga mkono ni ngumu sana.
  2. R

    Mbona wanayanga wanampigia chapuo Mangungu sana nini?

    Yule nae chawa tu.asilimia themanini ya wanasimba hawataki.jiulize kwanini?
  3. R

    Azim Dewji adai Sh1 bilioni kwa Mangungu

    Kumfunga yanga tu,ndo manikio,
  4. R

    Madhaifu yangu kwa mke wangu yamegeuka kuwa fimbo yangu

    Achana na huyo mpumbavu,afu tafuta pisi Kali zaiidi yake,dawa ya moto ni moto.
  5. R

    Mbona wanayanga wanampigia chapuo Mangungu sana nini?

    Kuna kitu najiuliza sipati majibu,mbona wanayanga wengi wanatamani Mangungu aendelee kubaki madarakani,sababu nini wanasimba wakisema mangungu hatumtaki,wanayanga wanasema kwani ana shida Gani Au pengine kwasababu wamewafunga simba mufululizo kwenye uongozi wake.
  6. R

    Azim Dewji adai Sh1 bilioni kwa Mangungu

    Timu kufanya vibaya,una lingne
  7. R

    Naona na Mange imemfikia, Ninayo kitambo

    Na iwe hivyo.
  8. R

    IRGC waanza kuonja Joto ya jiwe waanza kukosa mishahara na vifaa!!

    Wapi huko?waambie america wakaweke mtu wao.
  9. R

    TRUMP yuko kimkakati zaidi asema **Sina haraka kushusha kipondo kwa Iran!!**

    Afanye anachoona ni sawa,mbna achelewa.tumechoka na ngojera.
  10. R

    IRAN: Tumeondoa kikomo cha cha makombora yetu ya masafa, sasa ni 4,500Km tushambulia hata ndani ya mipaka ya mataifa ya Ulaya.

    Lengo la vita alivyoanzisha Israel na usa lilikuwa nini?kuua viongozi au kubadilisha utawala? please answer me.
Back
Top Bottom