Recent content by Rajesi

  1. Rajesi

    Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Nina miaka 25 lakin mambo bado ayajakaa sawa yani sijafanya chochote mpaka sielewi kabisa
  2. Rajesi

    Ushauri jaman

    Jamani naulizia biashara ya kuchukua mchele kutoka nakonde kuleta dar inaweza ikahitaji mtaji wa shingapi make nataka nianze kufanya iyo biashara sa bado sina uzoefu naombeni ushauri wenu wakuu.
  3. Rajesi

    Naombeni msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi

    P bro nashukuru he ni vyuo vipi vinavyotoa hiyo koz ya mass communication
  4. Rajesi

    Naombeni msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi

    Naombeni ushauri kati ya hizi kozi. Ni kozi ipi ambayo ipo marketable ukimaliza masomo: - Law - Journalism - Public administration - Social Work Naombeni ushauri wenu hapo wakuu.
  5. Rajesi

    Chuo gani kinatoa online degree?

    Open University of Tanzania
  6. Rajesi

    Mabadiliko ya alama za ufaulu kidato cha 4 2019

    Labda watafanya hivyo ila ikiwa ivyo no hatari Sana watu watafeli sana
  7. Rajesi

    NACTE wanafanyaje hapa?

    Subiri wajuzi waje
  8. Rajesi

    Shahada 4 vs. Akili ya kuzaliwa

    K Kwa nn
  9. Rajesi

    Wadau msaada wenu katika kuchagua kozi

    Subiri matokeo yatoke kwanza
  10. Rajesi

    Msaada

    Poa Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  11. Rajesi

    Msaada

    Napenda tu kufanya hivyo mkubwa Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom