Mabadiliko ya alama za ufaulu kidato cha 4 2019

Mabadiliko ya alama za ufaulu kidato cha 4 2019

BSL

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
86
Reaction score
98
Nimesikia ya kuwa utaratibu mpya utatumika kwenye ufaulu wa mitihani ya kidato cha 4, 2019.hususani kupanga madaraja ya ufaulu,mfano
Daraja la kwanza,7 _14
Daraja la pili. 15_18
Daraja la tati 19_23
Daraja la NNE 24_28
Kuanzia hapo 00000
Je kuna ukwel wowote hapo Mwenye taarifa za uhakika atujuze
 
Kama ni kweli nafikiri lengo ni kupunguza idadi ya wanafunzi wengi wa kuingia vyuo vikuu, ila haya ni mawazo yangu tu
 
Nimesikia ya kuwa utaratibu mpya utatumika kwenye ufaulu wa mitihani ya kidato cha 4, 2019.hususani kupanga madaraja ya ufaulu,mfano
Daraja la kwanza,7 _14
Daraja la pili. 15_18
Daraja la tati 19_23
Daraja la NNE 24_28
Kuanzia hapo 00000
Je kuna ukwel wowote hapo Mwenye taarifa za uhakika atujuze
hakuna kitu ya hivyo mkuu huo uvumi hujaa nza leo labda baadae saanaa
 
Labda watafanya hivyo ila ikiwa ivyo no hatari Sana watu watafeli sana
 
Nimesikia ya kuwa utaratibu mpya utatumika kwenye ufaulu wa mitihani ya kidato cha 4, 2019.hususani kupanga madaraja ya ufaulu,mfano
Daraja la kwanza,7 _14
Daraja la pili. 15_18
Daraja la tati 19_23
Daraja la NNE 24_28
Kuanzia hapo 00000
Je kuna ukwel wowote hapo Mwenye taarifa za uhakika atujuze
Wasomi wamekuwa wengi nandio maama viwango vya ufahulu vinapanda mpaka nijekuwa na mtt unakuta ufahulu wa daraja la 4 hakuna mwisho ni daraja la 3 tu.
 
Mimi mwenyewe kuna dogo wangu form three alinipa taarifa hiyi wiki iliyopita kasema wakitangaziwa na mwalimu wao ila taarifa rasmi sijapata
 
Ukiona maswali kama hayo ujue huyo karudia mtihani keshaona ameferi anatafuta kisingizio pindi matokeo yakitoka
 
Hata wachekeche vipi bado Div 1 yangu inabakia pale pale. Enzi hizo mitihani ni mitihani achana na hii mitihani kuanzia 2010
 
Dah ni kwer et at mimi nasikia ivy ila acha average ipande 2 ili wanafnzi 2kaze et
 
Tukiangalia kiwango cha ufaulu ambacho ni dvsn 1-3 hamna kilichobadilika (Nanena bila kuunga mkono hoja ya muandishi). Division 1-3 ina range kwenye points 7-23 ambavyo ndivyo ilivyo hapo juu hizo points zinazobaki kimsingi ni za kisiasa (hutumika na wanasiasa zaidi). My take is kama hayo ndo mabadiliko hayamzuii mtu yeyote kupata division 1-3 ila yanaweza kukuzuia kupata division 4 ukaangukia 0.
 
Kama lengo lao ni kuweka heshima kwnye haya madaraja 1- 3 basi nashauri waache hvyohvyo, yaaan div 1 ya 7 hadi div 3 ya 25, four na zero ziwepo kama kawaida..
Ila tu waongeze kiwango cha marks.. Yaan kama D (pass) ianzie 40 au zaidi.. Ili uniform ya vyeti ibaki ileile iliyozoeleka.. Isije ikawa kama kipindi cha Jumanne Maghembe na Shukuru kawambwa (2014 - 2013) mambo yalikuw hovyohvyo na hii miaka wahitimu wanavyeti vya kitofauti ukilinganisha na miaka yote/wahitimu wengine
 
Back
Top Bottom