Recent content by Rajabu Visenti

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

    Shida serikali ndio imeshindwa kututumia, mimi hapa nilipo ninauwezo mkubwa sana ninaweza badrisha makaa ya mawe kuwa crude oil alafu nikaprocess nkapata petrol, diesel, kerosine n.k, shida ni vifaa, naweza kubadrisha natural gas kuwa crude oil, naweza kubadrisha methanol kuwa petrol, tatizo ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Art in Business Administration vs Bachelor of Accounting and Finance

    Basi nitacheki ya SAUT wakuu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

    Wacha maneno yako Mkuu, hebu heshimu wanasayansi wewe, angeweza kitabu mtu wewe kama sio wanasayansi wetu, angeweza kupima ubora wa vitu kama sio wanasayansi wetu, hizi mambo sio mchezo
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kupata D au E ya physics A level ni kazi kubwa kuliko kupata degree ya biashara au ya arts, je ni kweli?

    Nataka kumjua aliye kumbiza chemistry ifunda Tech 2013
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake wenye makalio makubwa

    Itakua una mpenzi ambaye ni flat screen ww sio bure, maana sio kwa povu hili
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali kuolewa na wanaume hawa

    Huu ni ushamba mtupu, kwanza hatuna mpango wa kuoa saivi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Usioe usioe, Narudia tena mpendwa usioe!

    Mimi huyu naoa washikaji, kama mmemwona kama huyu nileteeni
  8. R

    JamiiForums Tanzania Soma Kwanza shule fika hadi chuo kikuu wewe

    Dewji received his primary education in Arusha at the Arusha Primary School and continued his secondary education at the International School of Tanganyika (IST) in Dar es Salaam, Tanzania.[10] In 1992 his father enrolled him at the Arnold Palmer Golf Academy in Orlando, Florida, where Dewji...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nataka nisome SAUT mbeya! nifanyeje ili nisikose nafasi?

    Hivi SAUT waweza kosa nafasi kweli?? Sio rahisi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada

    Kwenye online application system ya udsm postgraduate ucourses nimekamilisha kila kitu na kuambatanisha kila kitu zikiwemo data na emails za referees. Tatizo, email za udsm zenye referees' forms haziwafikii mareferee wangu. Nilisubmit my application package before deadline. Niki-click sehemu ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania BSc Mechanical Engineering au BA Accounting achague ipi

    Sawa sawa mkuu, na utakua na idea kuhusu ajira za akaunti mkuu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kozi: Oil and Gas na Electrical and Electronics Engineering ipi bora?

    Nmtafuta aliye tunga hilo shairi la petroleum petroleum wadau
Back
Top Bottom