Recent content by RAJAB MPELLA

  1. RAJAB MPELLA

    Jamani nyie masecretary / wadada wa mapokezi, punguzeni ukali

    Inaumiza sana Unatafuta kazi af mdada wa mapokezi anakutolea maneno ya kukukatisha tamaa tena hata bila ya kukuruhusu kuonana na boss. Sijajua wote ndio wanafundishwa hivi kwenye vyuo vya hizo taaliluma au nini. Japo wanakua wamepewa maelekezo kuwa wasiruhusu mtu ambae hana appointment na boss...
  2. RAJAB MPELLA

    KWA WASANII: OFFER NICHEKI NIKUTENGENEZEE COVER YA MWIMBO AU PICHA ZA MUENOKANO WA KISANII BUREEE

    thanks sna naendelea kujifunza Kama una utaalam.na haya mambo unaweza ukanipa ideas kipi nifanye
  3. RAJAB MPELLA

    KWA WASANII: OFFER NICHEKI NIKUTENGENEZEE COVER YA MWIMBO AU PICHA ZA MUENOKANO WA KISANII BUREEE

    Hiyo niliyotuma Ni sample ya kazi yangu Mm ni grahics designer i can do anything you want ww sema chochote
  4. RAJAB MPELLA

    NIDHAMINI VIFAA, NINA SKILLS ZA ICT NA COMPUTERS, ILA SINA BAADHI YA VIFAA ILA NINA SKILLS ZA KUTOSHA

    Nahitaji Mtu ambaye atanisaidia ufadhili nipate vifaa vifuatvyo, Computer na Camera, Nina skills zifuatavyo -Graphics Designer -You tube Channel manager _Blogger (2 years Experience) -Online Marketing -Web Designing -Social Network Manager Nicheki 0759146185
  5. RAJAB MPELLA

    KWA WASANII: OFFER NICHEKI NIKUTENGENEZEE COVER YA MWIMBO AU PICHA ZA MUENOKANO WA KISANII BUREEE

    NIcheki 0759146185, Nikupe Maelekezo nakutengenezea buree na nakutumia, Hii ni offer yako
  6. RAJAB MPELLA

    Tujadili kuhusu CSS na HTML hapa

    <!DOCTYPE html> <html> <header> <h1>ATTENTION TO ALL DEVELOPERS</h1> </header> <body> <p> ANY ONE WITH A DEEP UNDERSTANDING ON PHP PLEASE GIVE AS A SHORT LESSON</p> <p>Thank you</p> </body> </html>
  7. RAJAB MPELLA

    Gharama za Open University of Tanzania

    Napenda nifahamishwe kwa wenye uelewa gharama za masomo kwa Open University of Tanzania zipoje kwa shahada na masters mwenye uelewa atoe info
  8. RAJAB MPELLA

    Anguko la Millard Ayo liko karibu sana

    Ukweli ni kwamba millard kuweka video nyngi ni yeye kujiongezea kipato kikubwa Youtube kwa sababu video anazoweka ni za kutoka kwenye Youtube channel yake so unapotemblea blog kwa sasa ni sawa na kuingia Youtube channel. Na pia kuhusu matangazo hizo ndo pesa za Youtubers, bila matangazo ya...
Back
Top Bottom