Chief hayo ni mawazo zako.lakini tumechoshwa na Siasa hewa za Watu wasio wasomi let's face reality nathani wewe unakula kwa wazazi lakini sisi wafanyabiashara tumejifunza Siasa sio ushabiki. Ningependa utafakari sana hili Jambo na uookoe wenzio wenye akili fupi Kama wewe.
Watu wa ars acheni propaganda ccm ndio baba aw nchii fanyeni kazi hizi Siasa za kudanganywa mnauwawa alafu wengine mkono unaenda kinywani pole sana . Sisi life goes on and life is good!
me i dont see the reason why ni lowasa kila kukicha hata hawa viongozi wa chadema sio mnavodhani . tusisahau siasa mchezo mchafu , hakuna nchii yenye kiongozi bora dunia nzima taja? but lowasa ni morani mwanaume na tutampa nchii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.