Recent content by Raia Mwema

  1. Raia Mwema

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    Na mimi nimemkosoa mwandishi kuna kosa gani kama na yeye anakosoa? mkosoaji naye hukosolewa hata kama ni mwandishi
  2. Raia Mwema

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    Je yote anayoongea Dk. Slaa ndio ya kweli? ni bora ungejenga hoja kuliko kutueleza ugunduzi wa Slaa vinginevyo ni kuchanganya madawa
  3. Raia Mwema

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    porojo ya mwandishi siasa zimewashinda wanatafuta sababu ya kutokea, taarifa imekosa vielelezo imejaa shutuma tu. TISS haikubariki JF nategemea michango mingu itaikandamiza bila kufikiri lengo na dhamira ya mwandishi. makala ya msomaji raia, ni maarufu kwa kukosoa bila kikomo. Huyu mwandishi...
  4. Raia Mwema

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Tunashangaa nini ni jambo lililotegemewa gazeti limejiachia uhuru kupita kiasi hayo ndio matokeo yake.
  5. Raia Mwema

    Matukio ya mauaji ya kisiasa ni serikali ya JK kushindwa kuongoza nchi?

    Sio kashfa inapambwa na wanasiasa kulinda hadhi yao ilichanganyika na wasiwasi na hofu ambao wote hatujui kama ni kweli au si kweli.
  6. Raia Mwema

    Matukio ya mauaji ya kisiasa ni serikali ya JK kushindwa kuongoza nchi?

    Nani ataweza kuthibisha tuhuma za chadema kuwa ni kweli na hazitakiwi kupingwa???? Kuleta itikadi za kisiasa katika kesi ya jinai ni kukosa uelewa
  7. Raia Mwema

    Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    pepo jipya (jini siasa) la Chadema linawapeleka puta vibaya utafikiri kichaa cha mbwa wawe makini kutupa tuhuma hovyo hovyo
  8. Raia Mwema

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    mapungufu kwenye vyombo vya usalama ni kielelezo kwamba ndio maana vipo kwa ajili ya kufanikiwa na kushindwa kupata habari za ujasusi.... USA na CIA yao wameshindwa mara nyingi tu
  9. Raia Mwema

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    wanafanya kazi ngumu pongezi ni muhimu japo jamii inataka kutuaminisha kwamba hawafanyi kazi
  10. Raia Mwema

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Kitendo cha kuhukumu kabla ya ushahidi ndicho sikipendi kuliko vitendo vyote. Duniani kote vurugu nyingi huanza kwa matendo ambayo bado hayajadhibitishwa na binadamu kutoa hukumu palipo na ushahidi wa mashaka.
  11. Raia Mwema

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Ulimboka anakimbia mzimu wake ni janja ya nyani
  12. Raia Mwema

    Mauaji ya watanzania wenzetu yanafanywa na nani?

    Mara zote mchawi ndiye analia sana msibani, Chadema wanalia mno kulikoni? Machozi mengi kuna namna.
  13. Raia Mwema

    Madaktari kuuza damu kwa wagonjwa mahututi ni ubinadamu?

    kuna baadhi ya madaktari hawana utu hata kidogo japo wengi tunasahau huduma mbovu waliowahi kutupa sisi wenyewe, ndugu au rafiki.
  14. Raia Mwema

    Mgomo wa madaktari - Updates

    Muafaka ulipokuwa umefikia hatukuhitaji mgomo mwingine hawa madaktari ni wakorofi. serikali ilishaonyesha kunyoosha mikono na kushughulika kwa haraka
  15. Raia Mwema

    Mgomo wa madaktari - Updates

    madaktari kupitia chama chao hawajawahi kutoa japo tamko moja tu kujutia vifo vya watanzania wenzetu waliopoteza maisha katika mgomo wa kwanza. Ni ishara kwamba vifo kwao ni jambo la kawaida. Hata kama ulikuwa ni mgomo lakini wangetoa tamko kwamba waliumizwa na hali iliyojitokeza ya wananchi...
Back
Top Bottom