Recent content by Raia mtiifu

  1. R

    Mwanahabari Sam Mahela alikwenda wapi na anafanya nini kwa sasa?

    Mpaka mwisho wa huu uzi hakuna mwenye jibu la moja kwa moja.
  2. R

    Stand up comedy watanzania wanahitaji kuelimishwa watofautishe Sanaa ya uchekeshaji na uropokaji

    Binafsi nilikuwa natazama pamoja na wife ,mke wangu akasema unaangalia ujinga huo.Yaani kwanza hawajui hata adhira iliyopo,eti unataja kabisa Mhe.Rais kwenye comedy hata hujui kuwa Ile ni Taasisi nyeti,ni bora hata angetumia njia nyingine kuchekesha kuliko kumtaja Rais.Eti Mhe Rais Kajala...
  3. R

    Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

    Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira. Kutokana na ongezeko hili la viwanda, kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada...
  4. R

    Kama wewe ni Mpenzi wa mpira na unataka kutengeneza pesa bila kufanya betting basi fanya hivi

    Kila niki-scrow sifiki mwisho,itoshe kusema tu kuwa sijasoma lolote hapa.
  5. R

    MEDITATION imenisaidia kuacha pombe

    Pombe ukiacha haihitaji matangazo,mwaka mmoja mchache sana,kuna jamaa yangu alikaa miaka minne bila kunywa ila sasa hivi amerudi kundini anagida m'ma kama hana akili nzuri.
  6. R

    Uchambuzi: Sababu za Kwanini Simba atakandwa na Al hly Tripoli Jumapili

    Kitakachowafanya Simba wafungwe ni kauli ya kusema kwa Mkapa hatoki mtu,wataingia na mawazo hayo uwanjani bila kufanya bidii.
  7. R

    Rais Samia kuingia na mlinzi wa kiume msikitini, ni jambo la kawaida. Tuache Mihemko isiyo na Tija

    Aliyepiga hii picha nadhani sasa hivi polisi wanafanya nae mahojiano kwa kina.
  8. R

    DOKEZO Uhamiaji nendeni nyumba za wageni za Mbagala Zakhem kagueni kila usiku mtakuta Wasomali na Waethiopia wamefichwa kusubiri kusafirishwa

    Ili nchi iwe na akiba nzuri ya fedha za kigeni ni lazima biashara kama hizo ziwepo maana hao wakija wanaacha dollar na nchi inakuwa na Dola za kutosha.
  9. R

    Bodaboda nao waomba kusafiri na Rais Samia kwenye ziara za nje ya nchi

    Tunaomba na sisi wamachinga tusafiri na mheshimiwa tukajifunze jinsi ya kufanya biashara kitaalamu.
  10. R

    Yanga waajiri kocha wa free kicks, na penalty shoots

    Si m S Sio maeneo hayo tu,hata kwenye upigaji wa Kona,mara ya mwisho Yanga kufunga goli la kona sijui ilikuwa mwaka gani.
  11. R

    Polisi wanalipwa kiasi gani cha mshahara? Naomba mnijuze

    Njoo hapa Twalipo utapata majibu yote
  12. R

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Mkuu wa Wilaya ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama katika eneo lake la Utawala,hivyo majeshi yote yaliyopo ndani ya mipaka yake ya Utawala yapo chini yake.Hakupaswa kulalamika mbele ya Rc bali alitakiwa kuwachukulia hatua kama ni kweli au angepeleka taarifa hizo kwa Rc ofisini na si public.
Back
Top Bottom