Recent content by Raia 2000

  1. R

    JamiiForums Tanzania Operesheni KuKu (kufa kupona). riwaya ya kijasusi

    Iko vizuri
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani huyu anayevujisha habari za Serikali yetu kule Canada?!

    Mh labda aliyevujisha ni Mheshimiwa barozi wa Canada .maana profesa alimwita kumhoji
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, lini umewahi kulisaidia taifa?

    Unafahamu maumivu ya risasi?, unataka Lisu arudi ili iweje? Kama lisu hana msaada unaumia nini kuona harudi? Anawalalmikia watawala wa Tanzania au analilalamikia taifa la Tanzania?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni FDR wa Tanzania

    Maoni mhmu lakini kumbuka Magufuri baada ya kuwa madarakani ndo tukaona utendaji wake kumbe mtu akipewa nafasi ndo huweza kuonekana .sasa Tukianza kufikiria kuongeza mda lini sasa tutawapata wengine pengine wazuri zaidi? Kumbuka baada ya kuto ongeza mda ndo tulimpata Mkapa naye vivyo hivyo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Oh prof kabudi ananishangaza, kwa elimu yake asingejiulza hayo maswali kwamba kwanini Canada? Na anamwita barozi wa Canada .prof ni mwanasheria suala likiwa mahakama anamwita barozi ili afanye Nini? Kwani serikali ya Canada umekosea nini hapo hadi aseme tumekasirishwa sana?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Tundu Lissu ana hoja kuhusu usalama wake ili arejee nchini. Lakini, nani hasa amhakikishie usalama wake ili arejee nchini?

    Usalama wa raia ni wajibu wa serikali. Kama wahakikishe akirudi anakuwa salama salimini
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tuache kujibagaza, tukitaka kuwa wazalendo wa kweli tutafute suluhu ya kudumu dhidi ya mkulima Steyn

    Jamani sasa tuamini lipi? Serikali inadaiwa au haidaiwi"? Profesa atuambie kule ndege iliachiliwa sababu hatudaiwi au sababu ilikuwa ni ya rais?
Back
Top Bottom